Ongezea na kupiga picha na pesa amezimwaga chumbani juu ya kitanda, yaani sijaona wazungu na huu ushamba...Waafrika, na hata wamarekani weusi wanaushamba sana wa mavazi. Wanavaa wanakuwa kama vipepeo.
🤣🤣👍Hakika Al akhy!!Masikini ndio hua wana hangaika kuvaa vizuri ili kuficha umasikini wao.
Watu wenye pesa zinazozaa,huwa hawaoni shida kuvaa nguo za dukani,au za gharama,mitupio,they have nothing to prove to any one,that they are rich and wealthy,kwa kina sie kwa vile hatuna kitu,tunaishi kwa vimishahara vya milioni mpaka Saba,kuvaa ndio kitu pekee Cha kuwa dhibitishia watu wengine kwamba na sie tumo,tuna pesa!!Wao ndio wamekutengenezea nguo,wamekufundisha kuvaa eti leo unasema wanavaa kishamba. Wenzio washapita huko kwenye Kula,kulala na kuvaa saa hizi wanaangalia uwezekano wa kwenda kuishi Mars.
Tuambie nini ulichokiona hats kuzungushia miduara.Jamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao?View attachment 1933620
Leo ndiyo nimeamini Tanzania ina Vijana wengi wajinga yaani jamaa anahisi kuvaa ndiyo dalili ya mafanikio...Wao ndio wamekutengenezea nguo,wamekufundisha kuvaa eti leo unasema wanavaa kishamba. Wenzio washapita huko kwenye Kula,kulala na kuvaa saa hizi wanaangalia uwezekano wa kwenda kuishi Mars.
Wewe dume toka kwenye thread yangu[emoji849][emoji849]Umeshasema mzungu...
OvaWao ndio wamekutengenezea nguo,wamekufundisha kuvaa eti leo unasema wanavaa kishamba. Wenzio washapita huko kwenye Kula,kulala na kuvaa saa hizi wanaangalia uwezekano wa kwenda kuishi Mars.
context kaka wapi unafanya nini na nani?? hata huoni wakiwa kwenye mikutano yao huko wanakula suti za madesigner saa kali kiatu kikali ambavyo ukiweka pamoja ni mkwanja mrefu...hata kama pia ni mzungu akienda kuajiriwa lazima awe presentable sio unaitwa ofisini kupeleka presentation kama jamaa hapo lazima wakufukuze ..kwa jamaa yupo ndani bad enough yeye ndo CEO sasa anaamua cha kufanya hata kJamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao
waarabu ni case nyingine..wao wameridhika na magauniNi ushambalize tu,,,ndiyomaana waarabu hawana muda wa kuiga iga tamaduni za kibeberu, suti na majeans kwao si desturi
Kuvaa sio ishu ukiwa upo free zakoJamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao
Dah kweli ndio maana wahenga walisema ukimuamsha alielala utalala wewe,yaani wewe uliekuwa unavaa magome ya miti wazungu wakakuletea nguo,eti leo hii unawaita washamba...?Jamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao