Kuna harufu ya udini hapa [emoji36][emoji36]Uzuri wa waarabu hawanaga mambo ya kuigaiga tamaduni za kibeberu,,,mutabakia ninyi kuigaiga visuti na vimoka vyao ndiyo kujiona ati mmesoma na wastaarabu [emoji16], kwa wanawake ivyo ivyo vimini, vichupi na minywele wazi dahh [emoji16] makafiri bwana
Mazingira ya joto na vumbi na upepo ndo yamefanya mavazi Yale yatumike kule
Dini zote haziruhusu mwili wa mwanamke kuwa wazi.Kama ni ivyo,,,kwanini wasivae vikaptula na vimini kwa wanawake ili kuondokana na joto kama ivyo!!!! Tukubali tuu, waarabu hawanaga mambo yakuigaiga mzehe.
Debe tupu ndilo lenye kelele siku zoteJamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao
Dini zote haziruhusu mwili wa mwanamke kuwa wazi.
Uvaaji kishamba ni upi? Sisi tunavaa ili watu wengine watuone sasa wao hawana haya mambo, Waafrica tuna kazi sanaMm naona wazungu wanaoishi Africa wengi ndo wanavaa kishamba...
Kuna NGOs moja hapa Bongo ni International, nakumbuka ulikuwa unaweza timba na kaptula kazini, na hakuna mwenye time na weww make wanacho angalia ni Output na sio mavaziIsipokuwa kama kuna mikutano muhimu na nyeti.
Kuvaa si "issue" kwa hawa jamaa khasa huyo mwenye utajiri zaidi ya dola milioni 140 kwenye akaunti benki.
Pia umri wachangia ukiwa umepata pesa muonekano huo ni namna fulani ya kuonyesha hupendi makuu.
Ila wazungu wengine huonekana kuvaa kishamba lakini kwao nguo au mavazi ya ajabuajabu ni mitindo na ila bei kali.
Zipo nguo au mavazi yenye kuonekana yamechanika lakini hiyo ni fashion.
Tupige kazi tusake pesa.
Mzee mtume alivaa boxa?? APA si tunaongelea mavazi au boxa sio vazi?Tatizo unauliza maswali yaco na kichwa wala miguu. Hapa Tunachojadili ni nguo za heshima, ambazo zinaficha umbile lote. Wewe unaniletea habali ya chupi tena.
View attachment 1991029
View attachment 1991030
View attachment 1991058
Cheki huu uchafu,, wa hapahapa bongo,,,nimesitili face zao ziconekane mzehe. Nakuomba ukishacheki zifute kwako. Nami nitazifuta babaa. Apo kuna utofauti mkubwa.
Kwanza sidhani kama wazungu wanajua kuhusu ushamba hii ipo bongo tuJamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao
Jamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao
Iyo sendoz Alovaa unajua thamani yake?Jamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao
Nadhani ulipaswa kuandika "wana-cope na mazingira"Sio kishamba Wana copy na mazingira.Hata Mimi nikienda vijijini kununua vitu lzm nivae kama wao
NAKUPINGA, HAIJALISHI WAPO WAPI UKIACHA OFISINI, HUVAA SIMPLE SANA, MARK ZUCKY NI MFANO, ANGALIA WENGINE WENGI.Sio kishamba Wana copy na mazingira.Hata Mimi nikienda vijijini kununua vitu lzm nivae kama wao
Unayo tayari, kibopa kama wewe huwezi kuwa dhaifu wa kushindwa kutambua defn ya ushamba.Weka definition ya kuvaa kishamba kwanza
Hao awawazi tena kuhusu basic needs kuvaa tuachie sisi masikiniNAKUPINGA, HAIJALISHI WAPO WAPI UKIACHA OFISINI, HUVAA SIMPLE SANA, MARK ZUCKY NI MFANO, ANGALIA WENGINE WENGI.
RAMBO, ANORLD HAO WOTE UKIACHA SESSION ZA KIOFISI HUVAA KAWAIDA MNO, TOFAUTI SANA NA SISI, AMBAO WENGI HUVAA KUWAIGA AKINA MONDI, ALIKIBA, N.K
MBONA LIKO WAZI HILO? UNAONEKANA WA AJABU UKISEMA ETI WANA-COPE NA MAZINGIRA, MBONA HATA WAKIWA KWAO ULAYA WANAVAA HIVYO HIVYO? UKIACHA WALE WASANII WEUSI AMBAO WENGI WAO PIA WANAJALI KUVAA(WEUSI POPOTE WALIPO WANAFANANA TABIA, IWE WA MAREKANI AU TZ)