Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

Watu wenye akili ambao kwao time is factor of production hawana muda wa kuvaa hizo nguo mnazoziita kali. Wako busy na creativity and innovation

Kwa mfano huyo wa facebook zamani, alisema yeye anavaa t-shirts za rangi moja ili asipoteza muda kuchagua nguo ya kuvaa!! Wanathamini muda kuliko nyie mnaothamini PAMBA KALI ili hali ni mafukara!!!
 
Jamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao.

wewe ndio mshamba, kama umefika ulaya, hiyo prova amevaa bei yake sio sawa na prova unazonunua hapa kariakoo, si ukute ni pesa ndefu tu. hata hilo jinsi, na sendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…