Ni kwanini Yanga au Simba hawautumii uwanja wa Uhuru

Ni kwanini Yanga au Simba hawautumii uwanja wa Uhuru

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Ninajiuliza inakiaje waende Azam na baada ya kukimbia Azam wamekwenda KMC.

Mbona uwanja wa Uhuru shamba la bibi upo vema tu.

Au umefungiwa?
 
Ule Uwanja Azam tv ndo walianza kulalamika kua hawapati view nzuri ya kurusha mechi kwa sababu ya katazo la jwtz kwamba Azam wakifunga camera zao ili game ionekane vizuri wanakua wanaonyesha mpaka kambi ya jeshi
Hako kajeshi ka kuvunja matofali sijui kanaficha nini humo wakati hakuna hata drones za kibangladeshi....
 
Drone zipo za kutosha mkuu. Na kizuri tunakaribisha kila Mtanzania aje kujionea.

Karibu sana mkuu, ukifika jitambulishe mimi ni Teknocrat wa JF utapatiwa mapokezi mazuri sana.
Duuh!
Kweli jeshi ni kwa form 4 failures.....
Tusiwalaumu polisi pia, ni walewale....
Naona umejua mpaka ID yangu!, hebu cheki na IP yangu ni ipi?
 
Umepiga ikulu, kuna madalali waliniletea mpangaji mdingi fulani, pesa ilibídi niikate tu, siwezi kumuamkia shikamoo mpangaji.

Hata ningekuwa Boss huko maofisini dereva mzee sitaki nipe kijana ambaye hata akikosea naweza kumkemea.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom