Ni kwanini Yanga au Simba hawautumii uwanja wa Uhuru

Ni kwanini Yanga au Simba hawautumii uwanja wa Uhuru

Duuh!
Kweli jeshi ni kwa form 4 failures.....
Tusiwalaumu polisi pia, ni walewale....
Naona umejua mpaka ID yangu!, hebu cheki na IP yangu ni ipi?
Mzee ID si ndio hii inaonekana hapa? Kuna maajabu gani kwenye kuijua ID? Mbona hata ID za mods tunazijua pia?

Ulifanikiwa kweli kumaliza form one?
 
Simba na Yanga wajenge viwanja vyao mbona inawezekana,
Michango ya Mashabiki wao inatosha kuwajengea viwanja.
 
Mzee ID si ndio hii inaonekana hapa? Kuna maajabu gani kwenye kuijua ID? Mbona hata ID za mods tunazijua pia?

Ulifanikiwa kweli kumaliza form one?
Elimu yenu ya necta kibongobongo ndio vipimo vyenu vya nani amekariri upupu mwingi
Nimemaliza year 13, na kwenda juu zaidi, haya dadavua ni elimu ya wapi ?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
Umefungiwa na TFF.

Ova
kati ya makosa yaliyofanywa na serikali ya Mkapa ni kujenga uwanja wa Mkapa pembeni mwa uwanja wa Uhuru. Ni matokea ya wasahili kupenda kubanana. Uwanja wa Mkapa ulitakiwa ujenge sehemu tofauti kabia na hapo Chang'ombe, labda ungepelekwa Kigamboni au Ubungo. Kwa sasa hivi viwanja hivyo haviwezi kutumika kwa pamoja, na huenda ndiyo maana hata ukarabati wake siyo priority ya serikali.
 
Sehemu ya kuchezea ya Uhuru ndiyo imekataliwa na TFF kuwa haikidhi viwango vya ligi yetu. Haihusiani na ukarabati wa Uwanja wa Mkapa.

Ova
 
Sehemu ya kuchezea ya Uhuru ndiyo imekataliwa na TFF kuwa haikidhi viwango vya ligi yetu. Haihusiani na ukarabati wa Uwanja wa Mkapa.

Ova
Hujajibu kwa nini wameikataa; ni kwa sababu haijakarabatiwa na huenda hakuna mpango wa kuikarabati. Uhura inajifia kifo cha mende, labda kubaki kuwa uwanja wa gwaride la jeshi tu.
 
Uko chini ya wizara ya michezo na utamaduni kama uwanja wa Taifa. Ulifungiwa na TFF then wamiliki wakaupiga pin kwa madai ya kuufanyia ukarabati mkubwa lkn ilikuwa kama kisasi tu kwa TFF
Capeti lilioza
 
Back
Top Bottom