Kama umeweza kufatilia na ukagundua yote haya ni wazi hizo ziara za CHADEMA zina IMPACT kubwa ila unachojaribu kufanya ni kama kuwabeza.Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri.
Gentleman,Kama hazina impact kwa Nini watawala wanamkamata? Nanwana mpango wa kumpa tani nyingi za kesi.
Hivi shetani impact yake ni Nini zaidi?
Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe.
Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri.
Kwakweli hata mapokezi duni waliyokua wanakutana nayo huko mikoani, yamechangia pakubwa viongozi hao wakuu wa chadema taifa wa-tone down kabisa, na wana dalili za kukata tamaa. Ni ishara ya kwamba moto wa G55 ni mkali zaidi yao mikoani.
Unadhani ni kwanini wananchi hawawaelewi kabisa CHADEMA na agenda zake?
Je, ni kwasababu wanalalamika sana au hawahubiri masuala yanayohusu mahitaji yao ya kila siku?
Mungu ibariki Tanzania
gentleman,Kama umeweza kufatilia na ukagundua yote haya ni wazi hizo ziara za CHADEMA zina IMPACT kubwa ila unachojaribu kufanya ni kama kuwabeza.
Kama hazina impact waacheni msiwatume polisi wawakamate viongozi wao. Wanasema Dont hate the player hate the Game. kutoka ndani ya moyo wangu ninaichukia siasa kuliko kawaida.
Gentleman,Kama haina impact Lissu asingekamatwa bila sababu!
Amekamatwa kwa sababu CCM haiwezi kuvumilia ajenda ya No Reform No Election.
Hebu tueleze faida moja kubwa unayoipata kwa kukashifu ziara za Chadema, tafsiri yangu kwako ni mtu uliyekata tamaa baada ya kukosa kazi za kufanya.Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe.
Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri.
Kwakweli hata mapokezi duni waliyokua wanakutana nayo huko mikoani, yamechangia pakubwa viongozi hao wakuu wa chadema taifa wa-tone down kabisa, na wana dalili za kukata tamaa. Ni ishara ya kwamba moto wa G55 ni mkali zaidi yao mikoani.
Unadhani ni kwanini wananchi hawawaelewi kabisa CHADEMA na agenda zake?
Je, ni kwasababu wanalalamika sana au hawahubiri masuala yanayohusu mahitaji yao ya kila siku?
Mungu ibariki Tanzania
Huyu nae hajitambui!Kama hazina impact kwa Nini watawala wanamkamata? Nanwana mpango wa kumpa tani nyingi za kesi.
Hivi shetani impact yake ni Nini zaidi?
Huyu Mtu anajitahidi kuandika upuuzi.Hebu tueleze faifa moja kubwa unayoipata kwa kukashifu ziara za Chadema, tafsiri yangu kwako ni mtu uliyekata tamaa baada ya kukosa kazi za kufanya.
Mtafiti Chawa?gentleman,
mimi ni mtafiti mwanadamizi na mtaalamu mbobevu katika siasa za vyama,
na hayo niliyoyaeleza kwa uchache ni matokeo ya tafiti za muda mfupi na mrefu juu ya ziara za hao wangwana wa chadema.
na katika siasa za kistaarabu, kuna utaratibu wa kisheria ni muhimu ukafuatwa, bila kutumia physical conditions yako ukadhani ati utahurumiwa na utaachwa udeke,
my friend,
utachukuliwa hatua vizuri sana tu, kwasababu sheria ni msumeno.
utashughulikiwa tu hatakama unasema mwili wako ni madawa tupu
Gentleman,Hebu tueleze faifa moja kubwa unayoipata kwa kukashifu ziara za Chadema, tafsiri yangu kwako ni mtu uliyekata tamaa baada ya kukosa kazi za kufanya.
Unapomuita kibaka na tapeli haudhani hiyo ni kashfa!Gentleman,
binafsi huwa naeleza mambo ya ukweli ya msingi tu, sifahamu chochote kuhusu kashfa.
Na,
jukumu hilo zito la kueleza ukweli, sichoki wala kukata tamaa, kwasabb nafanya hivyo kwa Neema na Baraka za Mungu tu π
Unakuta mjinga kama huyu kapewa buku 10 kisha anashangilia wanaokula pesa za maendeleoYaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe.