Kivipi? Tunasubiri kuona busara zako.Hatushangai et kisa Ni diamond.......mim nashangaa jinsi alivoshindwa kuhandle swala dgo kama Hilo na kutumia mbinu mbovu mpka jambo limelipuka vibayaaa.....swala lilikua dgo Sana Hilo kama angeamua kulihandle
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukute hata baba yangu anamfatilia diamond
Mkuu uko sawa kabisa. Habari inakuwa habari tu pale inapomgusa mtu maarufu.Imekuwa ni habari kubwa mno mpaka kwenye mashirika makubwa ya habari ulimwenguni BBC, DW nk... Mahojiano ya Diamond kwenye kituo cha habari cha MAWINGU na 'KUKIRI' kwake kwamba mtoto w Hamisa Mobeto ni wake....
Ni kwavile ni Diamond na Zarina (hongera zake huyu binti wa KINYANKOLE anajitambua sana), LAKINI ni wangapi kati yetu tunafanya haya mambo daily? Ni wa ngapi kati yetu tunazikana mimba daily!!! Ni wangapi yetu tunazisaliti ndoa zetu na mahusiano daily???
Tuache unafique kabisa... Tupambane na hali zetu.... Asilimia 90% ya wanaJF hatumfikii Domo hata robo...! Ya diamond yanawatokea wengi wetu ila hili lina mijadala mingi kwakuwa ni Diamond
Kuna mengi na magumu kwenye haya mambo, ila watu baki hupenda kushangilia magumu ya wengine bila tafakuri, huku wengine wakiongozwa na wivu tuuMkuu uko sawa kabisa. Habari inakuwa habari tu pale inapomgusa mtu maarufu.
Hata hivyo Chibu anadhihirisha kuwa sisi Waafrika bado tunadumisha mila kuwa Mwanamke mmoja hatoshi. Eti tunajifichia kwenye ustaarabu wa dini ambao kimsingi umetushinda.
Wasukuma wana msemo "Bujiku bobisa Ndeji" yaani usiku au giza huficha maovu. Mambo mengi maovu wengi wetu huyafanya gizani!
Lisipojulikana wewe ni salama. Lakini kimsingi kama ingetokea kila jambo analifanya mtu chini ya jua likafunuliwa Hakika habaki mtu salama.
Mastaa huanika mambo yao. Na wasipoanikwa humulikwa muda wote , yuko wapi na anafanya nini.
Isipotokea hivyo basi mtu anaweza kutumia jina la staa kutafuta kiki.
Lakini pia sisi huku pembeni hatujui kwa nini haya yanafanyika. Yawezekana ni njia mojawapo ya hawa wenzetu ya kufanya biashara. Tunajiingiza tu bila kujua kufanikisha biashara za watu wakati ya kwetu yametushinda.
Ngoja nipambane na hali yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukute hata baba yangu anamfatilia diamond