Ni kwel kwamba computer engineering haina mkopo?

Ni kwel kwamba computer engineering haina mkopo?

yrapherol

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
35
Reaction score
2
Jama nilikuwa nataka mnijuze kuhusu computer Engeneering ya Mbeya ni kwel kwmba haina mkopo maana nmeona possble loan pale ni 0 ?!
 
Course zote zina mkopo sema kuna priority na non priority,so hizo non priority zina mikopo pia
 
Back
Top Bottom