Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Uhai wa maisha ya zama hizo... Sio wa zama hizi....... Utaendelea kupata shida ya kufikiri fikra za BC ukaziwaza leo.... Kwa kuzilinganisha na dunia ya dot com...
 
Uongo mwingine huu..

MWANZO 6:3

BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.

MWANZO 7:6

Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.

* * * * * * * *

huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..

Hatari sana.
 
Back
Top Bottom