Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

na nuhu nae pia yumo katika huo ujumla, punguza ubishi..

ukiachana na Nuhu, kuna huyu mzee wa ufaransa, Jeanne Calment, ameishi miaka 122, mwingine huyu wa Indonesia, Mbah Gotho, ana umri wa miaka 145, and still counting.
Siku zunazotajwa zinawakilisha life span sio actual
 
wanasemaga the word of god is certain, ni la uhakika, kinachoandikwa ndicho, we unaleta mambo ya probability!
kama mwenye gari amefupisha jina la gari yake kuwa BMW, basi ni BMW na si vinginevyo.

kwenye biblia mungu ameweka limits nyingi sana na watu wameexceed hizo limits.. mnara wa babeli wanasema ulibomolewa kisa utafikia mbingu ila leo rockets zinapasua anga kama kawa.

ILA SIO KOSA LAKO KUENDELEA KUAMINI HADITHI ZA BABU NA BIBI.. HADITHI NJOO, UONGO NJOO, UTAM KOLEA.
 
Mbona hawaja exceed kifo
 
Kuna Movie Inaitwa Interstellar unaweza elewa how sayansi ilivyo ukiwa nje ya mzunguko wa Dunia Miaka haiendi na Mwili wako unabaki vile vile Thats why wanasayansi wana hasira ya kuishii Juu... Maybe hizo Njemba zilizoishi miaka hiyo zilikuwa zinabebwa juu nje ya mfumo wa mzunguko wa Jua and then zikirejea tena Duniani miaka Mia mbili inakuwa imepita
 
Kuna Mjamaa alishaandika huku kwa kuuliza Ati Mungu akiua na Kuchoma watu Moto anapata Faida Gani? 😀😀😀😀😀
 
Hilo naĺo tuweke pending
teh teh.. hatari sana mkuu.. its hard to believe the truth because its heartbreaking.. its like finding out your girlfriend cheated on you and you have no options, so you decide to stick around.
 
You get it right
 
Mnara kufika mbinguni ilikuwa ni maakào makuu ya ibada chini ya Nimrod. Kusudi ilikuwa kumwondoa Mungu katika nafasi yake.
 
ngoja homesexuality itakaporuhusiwa makanisani uone watu watakavyochanganyikiwa na kukosa msimamo juu ya imani zao.. na wewe sijui utaamini nini tena!! sababu huyo huyo aliekuletea habari za yesu ndo huyo huyo anakuletea ushoga.
Imani ya kikristo sio kumlazimisha mtu aamini kitu fulàni. Ni kuamini kwa iari. Wakiruhusu nabaki na kile ninachoamini sasa.na kwamba nakiona ni logical and doctrinally sound.
 
Back
Top Bottom