Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Naona broo unakosa la kujadili... Unaposema biblia inauongo unamaanisha kuwa Mungu ndo muongo. kuwenibmakin na kauli mnzaokuw mnatoa juu ya mambo ya Mungu. Mungu hadhihakiwi[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Tawachukulia kama ninavyokuchukulia wewe kwa upendo na kukuombea
kwa hio wewe utakua unasali kibubu bubu nyumbani? na wakati wa kuoa utakubali kuozeshwa na mchungaji shoga au utajiozesha mwenyewe?
 
kwa hio wewe utakua unasali kibubu bubu nyumbani? na wakati wa kuoa utakubali kuozeshwa na mchungaji shoga au utajiozesha mwenyewe?
Tutakuwa wengi mbona tutakaojisalisha sisi hata wewe utakuwa kwetu. Kuoa nihiari ya mtu
 
mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?

Hayo ni mambo ya kiroho mpaka uwe mtu unaewaza kiroho ndo utajua ni kwa nini waliishi Miaka 900 vinginevyo kwa kutumia akili zako za kawaida kuwaza hautakaa upate jibu..Waandishi waliotumiwa kuandika habari za Mungu hawakutumia akili na mawazo Yao kuandika mambo ya Mungu Bali Mungu aliwaongoza kuandika mambo yake Kama alivyotaka na si Kama Waandishi walivyopenda wao
 
Miaka ilikuwa inahesabiwa kinyumenyume kwa wakati huo

Nafikiri hata ukihesabu kwa uelekeo wowote ule mtu au kitu kikifikia tamati unapata idadi ya muda wake. Jaribu kuhesabu masaa kinyume halafu uone kama jumla ya masaa kwa siku yatakuwa tofauti.
 
Carbon 14
wakristo bwana, when it comes to proving the truth about some biblical scriptures, science is very applicable, IN SCIENCE WE TRUST. ila kwenye mambo mengine science is demonic, because they dont believe in the existence of God!!!??

WHY WOULD YOU USE AND TRUST THE KNOWLEDGE OF SOMEONE WHO DOESNT BELIEVE IN GOD TO PROVE THE EXISTENCE OF SOMETHING CONCERNING YOUR BELIEF?

kweli baniani mbaya kiatu chake dawa.
 
Amin nakuambia, kama huwezi kufanya 'reconciliation' kati ya Science na Theology you are in for trouble!
 
Amin nakuambia, kama huwezi kufanya 'reconciliation' kati ya Science na Theology you are in for trouble!
I'm just saying, using the source which is ungodly to prove something godly is insane..

its like asking the devil how can you get blessings from god and then he tells you and you trust him!!!
 
godly (theology), ungodly (science), kindly, reconcile btn the two, don't run away!
 
Nataka kukumbusha kuwa hiyo akili/talanta uliyo nayo imetoka kwa Mungu huyo huyo, alifanya hivyo ili akuwezeshe ufanye vitu vingine bila kumuhusisha moja kwa moja. Kumbuka ile hadithi ya mtu aliyechimbia talanta yake as compared na yule aliyeitumia na kuzalisha jinsi walivyokuwa treated na aliyewapa (Mungu), take care!
 
sijakana uwepo wa mungu, ila uwepo wa mungu huyu wa kikristo, there's no way you can tell me wazee wangu na mababu wote wa kiafrika waliofariki kabla ya kuja kwa ukristo wapo motoni kisa hawakumjua yesu alieletwa na mkoloni.
 
Sasa nimekuelewa vyema hivyo nimeshajua shida yako, nakushauri uanzishe mada (thread) tofauti na hii ili tuijadili!
 
Sasa nimekuelewa vyema hivyo nimeshajua shida yako, nakushauri uanzishe mada (thread) tofauti na hii ili tuijadili!
kabla hatujaelekea huko umegundua shida ni ipi? unaonekana una uhakika kweli na ulichogundua.
 
Kumbe.yesu.aliletwa na mkolon? Na wakolon.awoawo.ndo wanaoleta ushoga. Je wakileta ushoga kwenye makanisa sasa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom