Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Kumbe.yesu.aliletwa na mkolon? Na wakolon.awoawo.ndo wanaoleta ushoga. Je wakileta ushoga kwenye makanisa sasa itakuwaje?
Kwny makanisa watapitia wapi??? Wkt kila kitu sisi tunaongozwa na Roho Mt. Labda watakupata ww km utakua bado Hujamwamini Yesu Kristo
 
Naona broo unakosa la kujadili... Unaposema biblia inauongo unamaanisha kuwa Mungu ndo muongo. kuwenibmakin na kauli mnzaokuw mnatoa juu ya mambo ya Mungu. Mungu hadhihakiwi[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Kwani hicho kitabu mungu ndio alikiandika?
 
Hayo ni mambo ya kiroho mpaka uwe mtu unaewaza kiroho ndo utajua ni kwa nini waliishi Miaka 900 vinginevyo kwa kutumia akili zako za kawaida kuwaza hautakaa upate jibu..Waandishi waliotumiwa kuandika habari za Mungu hawakutumia akili na mawazo Yao kuandika mambo ya Mungu Bali Mungu aliwaongoza kuandika mambo yake Kama alivyotaka na si Kama Waandishi walivyopenda wao
Sasa ilikuwaje huyo mungu aliwafunulia biblia wazungu tu?
Ili waje watutawale sisi. inamaana huyo mungu sisi watu weusi alikua hatupendi?
 
Kwani hicho kitabu mungu ndio alikiandika?
kiliandikwa kwa uvuvio wa Mungu ,walioandika ni watu wakiweseshwa na roho wa Mungu. Alfi suala la kuish miaka mia tisa linahusiana sana na vyakula walivyokula . Wao walikula nafaka na matunda tofaut na leo watu wanakula hadi vyakula alivyovipinga Mungu. ndo umri wa kuish umepungua
 
Huo ndio uongo tunao ukataa kwasababu hata babu wa loliondo alisema hivyo hivyo kwamba ile dawa alionyeshwa na roho mtakatifi lakini mwisho wa siku watu walioenda kunywa dawa kwake waliishia kufa kama kuku.
Na kama ni swala la kula vyakula vya asili basi watu wa vijijini wangekuwa wanaishi hata miaka 200.
 
mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Babu yangu kafariki juzi akiwa kafikisha 100 kamili
 
1473048671690.png
 
Huo ndio uongo tunao ukataa kwasababu hata babu wa loliondo alisema hivyo hivyo kwamba ile dawa alionyeshwa na roho mtakatifi lakini mwisho wa siku watu walioenda kunywa dawa kwake waliishia kufa kama kuku.
Na kama ni swala la kula vyakula vya asili basi watu wa vijijini wangekuwa wanaishi hata miaka 200.

Unajua nikusaidieni enyi watumishi, chaguaneni hapa mmoja wenu hasa wewe wakutangaze kwamba ni mungu, uandike kitabu chako kama una sababu useme adamu aliishi miaka 45 kama life span yako ilivyo. Upagani ni mateso, hata elimu kidogo tu huna? . Yaoneni niyni wenyewe.Tena sirudi tena hapa, wala usisumbuke kunijibu..
 
kama hujui naomba unyamaze since kuumbwa kwa dunia miez
 
tangu kuumbwa kwa dunia miezi ni kumi na mbili.kuhesabiwa miezi kumi na mbili haijanza leo huo ni mpango wa mungu.quran inasema hivyo.lkn nuhuu aliishi miaka 950
 
Tena ninaamuru kwa jina la Yesu hiyo smartphone iwe ya mwisho kuimiliki
Unaemkufuru Roho Mtakatifu
Watu wote tuseme Amina.
 
Tena ninaamuru kwa jina la Yesu hiyo smartphone iwe ya mwisho kuimiliki
Unaemkufuru Roho Mtakatifu
Watu wote tuseme Amina.
In the name of KING LUCIFER AND HIS YOUNG BROTHER SATAN let this spell to perish.

Mods please futa comments zinazomkashifu mfalme wetu (KING LUCIFER) .kwani wamwabuduo Jesus wanapenda akashifiwe?
 
Back
Top Bottom