mair erasto
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 413
- 425
Lete hoja na wewe..... Sasa unafunga ili iwejeNafunga Roho ya atheism ktk jina la Yesu.
Enzi hizo mwaka mmoja ulikuwa na siku ngapi?mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
BAADA ya hili ungana na mwenzio anyedai MUNGU hayupo kisa, jua limepatwa Rujewa..mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Tatizo anawasa mambo ya zamani kwa fikra za leoEnzi hizo mwaka mmoja ulikuwa na siku ngapi?
Siku 365 overEnzi hizo mwaka mmoja ulikuwa na siku ngapi?
huto akija hapa hili jukwaa halitakalikaHUYO MWENZIE NI Kiranga
Kuna watu mna roho ngumu kweli kweli!!mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Una uhakika..?!Siku 365 over
Lakini wapendwa msilisahau hili kwamba kwa Bwana, SIKU MOJA SAWA NA MIAKA ELFU na MIAKA ELFU SAWA NA SIKU,(2PETRO 3:8, ZABURI 90:4)mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?