Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

kwa mjibu wa bible aliishi duniani,maeneo ya baghdad
sijaifahamu exact place ila ni dhahili kabisa aliishi duniani.

hawa wacha mungu wanaona eden haipo duniani wala mbinguni yani ni kama kasehemu kananing'inia angani vile..!!!!! hawa wacha mungu wamejawa na imaginations zilizokithiri.
 
Hawa watu wanamatatizo mengi sana.
hao ndo "CHOSEN ONES" mkuu, chochote wafanyacho na chochote wasemacho, angali ni wakristo, bado mbingu yao.. sisi tusiomkubali huyo myahudi hata tufungue orphan centres mia mbili, tutakwenda motoni tu.

Christians do all the wrong things and its all right, they got jesus..

Non-christians do all the right things and its still not enough, coz they dont have jesus!!!

Highest level of stupidity.
 
REDEEMER. Njoo ukanushe hizi tuhuma kama ni za uongo....au ukubali kuwa bible imekosewa.
 
REDEEMER. Njoo ukanushe hizi tuhuma kama ni za uongo....au ukubali kuwa bible imekosewa.
Hii huwa wanaipotezea tu.

Hakuna mtetezi wa dini anayeweza kuitetea kwa mantiki, labda ajitoe akili.

Lakini pia siwezi kushangaa mtu akijitoa akili, maana dini maana yake ni kujitoa akili na kutumia wishful thinking.
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kuileta hii list hapa Intel.,mara ya kwanza kuiona ilikuwa 2010.Nilizipitia hizo sababu 101 nakazisoma na kuzielewa, pindi nilipowapa hawa wafia dini waziangalie, waliishia kusema hilo ni fumbo lililoandikwa kwa sababu za kimungu.Pia wanadai kama mtu anataka kulielewa hilo fumbo sharti aangaziwe na Roho mt. na ukiendelea kuuliza zaida utakuwa kichaa.Lakini haiitaji akili nyingi kutambua kwamba hata wao wenyewe hawaelewi kitu...Bravo Mkuu.
 
Hapo hamna atakaepangua hizo hoja,ndo maana wazungu wenyewe walipogundua kumbe ni changa la macho,waliamua kuachama na hizi imani
 
Hapo hamna atakaepangua hizo hoja,ndo maana wazungu wenyewe walipogundua kumbe ni changa la macho,waliamua kuachama na hizi imani
Mkuu nimejikuta nacheka sana aisee...kwamba waligundua ni changa la macho?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Longolongo za kuonesha Mungu wao wa kutungwa.

Kwa nini aweke mafunbo kama mshairi wa Lamu anayeogopa kusema wazi?
 
Longolongo za kuonesha Mungu wao wa kutungwa.

Kwa nini aweke mafunbo kama mshairi wa Lamu anayeogopa kusema wazi?
Nadhani washaelewa somo ndio maana wapo kimya....subiri wanyanyue pua tena.
 
REDEEMER. Njoo ukanushe hizi tuhuma kama ni za uongo....au ukubali kuwa bible imekosewa.
Bible haijakosewa ipo accurate 100% am going to answer each question of the thread so easy and prove the threader wrong.

I am going to start a fresh thread for the answers stay tuned.
 
Jambo kama hulijui si bora uulize tu hivi unajua maana ya neno version?
 
Bible haijakosewa ipo accurate 100% am going to answer each question of the thread so easy and prove the threader wrong.

I am going to start a fresh thread for the answers stay tuned.
Hiyo thread inatakiwa ijibu hayo makosa 101 ya Bible kwenye post niliyo kutag....Kila la kheri katika huo uzi, kuwa makini usisahau kunitag.
 
Lete hoja na wewe..... Sasa unafunga ili iweje
Nenda Misri ukatazame Pyramids uje hapa kuelezea yale mawe yalipandishwa na nani bila ya winch ndio utajua yamepita majitu duniani
 
Nenda Misri ukatazame Pyramids uje hapa kuelezea yale mawe yalipandishwa na nani bila ya winch ndio utajua yamepita majitu duniani
Uongo Kulikuwa na Levers au Hujasoma Physics ya Darasa La Saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…