Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

mzee kama haupo tayari kuwa dismantled usilete ubishi...

sijasema mimi, imesema kamusi.. version manake ni toleo.
View attachment 395793
Hahahaaa
How do you define those terms basing on Bible versions?
At the second hand give the clear prove that Bible is twisted.

Give me the twisted chapters and verses.

Am watching.
 
Hiyo thread inatakiwa ijibu hayo makosa 101 ya Bible kwenye post niliyo kutag....Kila la kheri katika huo uzi, kuwa makini usisahau kunitag.
Yaani hapo sioni kitu ni hoja ambazo ninazijibu nikiwa hata usingizini so don't worry my son count the matter solved.
 
Uongo mwingine huu..

MWANZO 6:3

BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa MIAKA MIA NA ISHIRINI.

MWANZO 7:6

Naye Nuhu alikuwa mtu wa MIAKA MIA SITA hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.

* * * * * * * *

huyu mwandishi inaelekea alikua na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.. alishaandika mungu amelimit umri wa binadamu uwe miaka ishirini tu.. baadae anakwambia Nuhu aliishi miaka mia sita..

Hatari sana.
Kabla Mungu hajalimit Nuhu alisha
kuwepo miaka mingi
 
Yaani hapo sioni kitu ni hoja ambazo ninazijibu nikiwa hata usingizini so don't worry my son count the matter solved.
Well but be sure first before calling me your son, something which I dont mind.
 
Well but be sure first before calling me your son, something which I dont mind.
You just mind whatsoever you want.
Normal meaning of Son is a male or gentleman it doesn't stand for biological male offspring only. Get open minded buddy.
 
Hahahaaa
How do you define those terms basing on Bible versions?
At the second hand give the clear prove that Bible is twisted.

Give me the twisted chapters and verses.

Am watching.
asante kwa kukurupuka..

Exodus 21:7‭-‬8 KJV

"And if a man sell his daughter to be a maidservant, she shall not go out as the menservants do. If she please not her master, who hath betrothed her to himself, then shall he let her be redeemed: to sell her unto a strange nation he shall have no power, seeing he hath dealt deceitfully with her."

kwa kiswahili
KUTOKA. 21:7‭-‬8
Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo. Kwamba bwana wake hakupendezewa naye, akiwa amemposa, ndipo atakubali akombolewe; hana amri yeye kumwuza aende kwa watu wageni maana amemtenda kwa udanganyifu.

"If she please not her master" hii sentensi kwa kiswahili wametafsiri "Kwamba bwana wake hakupendezewa naye"

ni dhahili wameficha tafsiri sahihi ya neno "please" ambalo manake ni kuridhisha.. mungu alimpa huu mwongozo musa kwamba sio tu mtu anaweza akamnunua mtoto wa kike awe mtumwa wake, pia anaweza kulala nae, na asiporidhishwa nae, atatafuta watu wa kumgomboa.

we unadhani wachungaji na mapadre wanafataga nini kenya kama sio kuedit text kama hizi..
 
You just mind whatsoever you want.
Normal meaning of Son is male or gentleman it doesn't stand for biological male offspring only. Get open minded buddy.
My mind is always open, but how sure are you that I am a man/male?
 
Alafu hata sijakuuliza tafsiri nimekuuliza maana ya version in the Bible context.
a version is a particular form of something differing in certain respects from an earlier form or other forms of the same type of thing:
 
Hii biblia mi huwa naiangalia tu kisha naendelea kuisoma,huwa nawaza kwa mfano hawa walioandika hii biblia iliyopo sasa(KING JAMES VERSION)..hawakufanya kama wale wa BUNGE MAALUM LA KATIBA???
 
asante kwa kukurupuka..

Exodus 21:7‭-‬8 KJV

"And if a man sell his daughter to be a maidservant, she shall not go out as the menservants do. If she please not her master, who hath betrothed her to himself, then shall he let her be redeemed: to sell her unto a strange nation he shall have no power, seeing he hath dealt deceitfully with her."

kwa kiswahili
KUTOKA. 21:7‭-‬8
Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo. Kwamba bwana wake hakupendezewa naye, akiwa amemposa, ndipo atakubali akombolewe; hana amri yeye kumwuza aende kwa watu wageni maana amemtenda kwa udanganyifu.

"If she please not her master" hii sentensi kwa kiswahili wametafsiri "Kwamba bwana wake hakupendezewa naye"

ni dhahili wameficha tafsiri sahihi ya neno "please" ambalo manake ni kuridhisha.. mungu alimpa huu mwongozo musa kwamba sio tu mtu anaweza akamnunua mtoto wa kike awe mtumwa wake, pia anaweza kulala nae, na asiporidhishwa nae, atatafuta watu wa kumgomboa.

we unadhani wachungaji na mapadre wanafataga nini kenya kama sio kuedit text kama hizi..
Wamelificha wapi hilo neno please kwenye Swahili version?

Kutoka 21:
7 Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo.

8 Kwamba bwana wake hakupendezewa naye, akiwa amemposa, ndipo atakubali akombolewe; hana amri yeye kumwuza aende kwa watu wageni maana amemtenda kwa udanganyifu.

Hapo neno hakupendezwa naye lipo na tafsiri ya please kama kwenye English version wewe ulitaka liandikweje?

Yaani ni upotevu wa muda hoja ya kipuuuzi haswa sijawahi kuona inamaana neno please kwa kiswahili linatafsiri gani au pleasure sio kupendezwa?

Na vipi kwenye neno "Adam akamjua Eva na kumza Abel" unaitafsirije?
 
Hapo neno hakupendezwa naye lipo na tafsiri ya please kama kwenye English version wewe ulitaka liandikweje?
wangeandika neno kuridhisha lingeeleweka zaidi. we demu wako usipomridhisha kitandani huwa anakwambia baby hujanipendeza? ndio nini sasa.
 
a version is a particular form of something differing in certain respects from an earlier form or other forms of the same type of thing:
Okay give me the discourse difference between the following 8 Bible versions...

Okay give me the discourse difference between the following 8 Bible versions...

sasa we unaona hapo kuna neno gani watunzi wa biblia hawataki uliskie? mimi nazungumzia maneno yanayopunguzwa ukali.. jiongeze.
 
My mind is always open, but how sure are you that I am a man/male?
Stop ask me silly questions Read the capture details then come up with some positive argument.
IMG_20160907_212341.jpg
 
sasa we unaona hapo kuna neno gani watunzi wa biblia hawataki uliskie? mimi nazungumzia maneno yanayopunguzwa ukali.. jiongeze.
We baba naomba uwe specific nimekupa versions nimekutaka udhibitishe hoja ya mtafaruku wa upotofu wa Bible basing on it's multiple versions nipe each defect in details sababu nimeona umenipa vitu hata nwenyewe huvielewi.

Soma hizo versions na kama unataka nyingine sema nizilete hapa in case you failed to deliver them i will expose all here for you to show me what's your real point on multiple Bible versions.

Remember am looking for the "discourse" differences.

Am watching.
 
wangeandika neno kuridhisha lingeeleweka zaidi. we demu wako usipomridhisha kitandani huwa anakwambia baby hujanipendeza? ndio nini sasa.
Are you fit mentally?
Do yo have an idea of what is going on here?
 
Back
Top Bottom