asante kwa kukurupuka..
Exodus 21:7-8 KJV
"And if a man sell his daughter to be a maidservant, she shall not go out as the menservants do. If she please not her master, who hath betrothed her to himself, then shall he let her be redeemed: to sell her unto a strange nation he shall have no power, seeing he hath dealt deceitfully with her."
kwa kiswahili
KUTOKA. 21:7-8
Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo. Kwamba bwana wake hakupendezewa naye, akiwa amemposa, ndipo atakubali akombolewe; hana amri yeye kumwuza aende kwa watu wageni maana amemtenda kwa udanganyifu.
"If she please not her master" hii sentensi kwa kiswahili wametafsiri "Kwamba bwana wake hakupendezewa naye"
ni dhahili wameficha tafsiri sahihi ya neno "please" ambalo manake ni kuridhisha.. mungu alimpa huu mwongozo musa kwamba sio tu mtu anaweza akamnunua mtoto wa kike awe mtumwa wake, pia anaweza kulala nae, na asiporidhishwa nae, atatafuta watu wa kumgomboa.
we unadhani wachungaji na mapadre wanafataga nini kenya kama sio kuedit text kama hizi..