Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

umesahau na hii..

ZABURI 136:18
"Akawaua wafalme mashuhuri; Kwa maana fadhili zake ni za milele."

fadhili manake ni wema.. hivi kuua wafalme mashuhuri ni wema? ni kitu cha kujisifia?
huyu mungu wenu is really proud of killing his own creations!!!
Exodus 20:4,5 God works in laws and principles but in the arrival of Jesus christ it brought organized grace John 3:16 what can I say is that if you are wicked you'll be visited with iniquities if you are to repent the grace you receive
 
Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.

Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?

Ndiyo.Kumbuka Adam na Hawa waliishi kipindi ambacho walikuwa karibu na ukamilifu.Walikuwa bora.Walikuwa Grade 1 .sisi tumesha chakachuliwa sana tofauti na wao.Tunasema wao ni ORKGINAL .Sisi ni used au second hand.
 
myiopic view of world history. Uliza methusela aliwezakje kuishi miaka 990 siku hizi 100 ni kwa tabu sana?
Watu walivyo mchukiza Mungu kwa lifestyle zao chafu kufanya sexual relationship na Malaika, ambapo walizaliwa uzao wa manifili wa wanyama, wanadamu ndege na mijusi refer apoclipher of fallen Angeles
 
Exodus 20:4,5 God works in laws and principles but in the arrival of Jesus christ it brought organized grace
kwa hiyo kabla ya yesu huyo mungu alikua disorganized? inawezekana, maana sio kwa mauji aliyokuwa anafanya.. anasema "EITHER YOU OBEY ME, OR YOU'RE DONE!

WHAT KIND OF GOD IS HE? THE ONES WHO DID HIM WRONG (ADAM AND EVE) WENT ON AND LIVED FOR HUNDREDS OF YEARS, BUT I, WHO DID NO WRONG BUT INHERIT THEIR SINS, I GET TO LIVE FOR LESS THAN 120 YEARS? THATS SOME BULLSHIT.. Ni sawa na mwalimu anaefelisha darasa zima kisa mwanafunzi mmoja tu alimtukana.

So laws and principles didnt work in the past so he decided to change the game plan? SO GOD FAILS? AND IF GOD FAILS, HOW IS HE PERFECT?
John 3:16 what can I say is that if you are wicked you'll be visited with iniquities if you are to repent the grace you receive.
The gospel singer Angela, died in a car accident, was she wicked? the preacher, Pastory Majembe lost his whole family in a car accident, was he wicked? every sunday he gathers together God's lost sheeps but god cant protect Majembe's own sheeps?

halafu wanasema usimlaumu mungu, mshukuru mungu kwa kila jambo, unaanzaje kumshukuru mungu kwa kukuulia familia yako wakati anakwambia wewe ukiua familia ya mtu mwingine unaenda motoni?
 
halafu hio ya kupunguzwa miaka ya kuishi ni kwa sababu malaika walijamiiana na wanawake wa huku duniani.. angalia sasa huyu mungu alivyo wa ajabu..

mwanadamu anaishi maisha ya tabu, kula kwa jasho na kuzaa kwa uchungu kwa sababu ya makosa ya adam na eva

hio haikutosha, wana wa mungu (malaika) walijamiiana na wanawake wa huku duniani, mungu akakasirika na kuamua kupunguza umri wa mwanadamu

kila kosa linalofanywa na viumbe wengine mwanadamu ndo anaadhibiwa.

huyu mungu ana matatizo makubwa ya kiutendaji.
 
Mungu akusaidie.
Unaonaje na mateso haya ya maisha ungeishi miaka 500. Kwanza Maisha ya mwanadamu miaka yake iko directly proportional na intensity ya dhambi, unajua nini kilitokea miaka michache kabla ya Gharika. Average grobal lifespan.
 
Mungu akusaidie.
Unaonaje na mateso haya ya maisha ungeishi miaka 500. Kwanza Maisha ya mwanadamu miaka yake iko directly proportional na intensity ya dhambi, unajua nini kilitokea miaka michache kabla ya Gharika.
point ni kwamba, ACCORDING TO THE BIBLE, hatukutakiwa kabisa kuishi maisha ya mateso.. THINKING THAT YOU DESERVE TO LIVE A MISERABLE LIFE IS A SIGN OF ABNORMALITY.
 
point ni kwamba, ACCORDING TO THE BIBLE, hatukutakiwa kabisa kuishi maisha ya mateso.. THINKING THAT YOU DESERVE TO LIVE A MISERABLE LIFE IS A SIGN OF ABNORMALITY.
kulingana na bibilia ipi. Maana kabla ya dhambi hakukuwa na kifo wala mateso wala kuchoka, Baada ya dhambi kila kitu kiliundergo deformation na kuwa subjected to physical death. Mzigo wa dhambi unaojichumia ndio unafacilitate na determine maisha yatakavyokuwa miserable kwako. Lakini bado Hata ukiwa Muaminifu huwezi kujitenga na fact kama Kuchoka,Huzuni,Vilio, Majanga ya asili na mizigo mingi. Lakni ni udhaifu mkubwa kama sio mpango wa shetani kuhafifisha wazo kuwa pamoja na yote Mungu anampango wa kuturudishia Maisha Yale aliyoishi adam bila dhambi. Kwa hiyo vyote hivyo ni vitu vidogovidogo vya mpito
 
Mathayo 1:16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Na hapo Bible ipo sawia Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa Yesu.

Bible haiseme Yusufu akamzaa Yesu popote sababu Yesu hakuzaliwa kwa mbegu za Yusufu bali kwa uwezo wa Roho Mtakatifu Mariam hakukutana na mwanaume yeyote ndio Yesu akazaliwa.
Majibu ni haya [emoji652] [emoji652] [emoji652]
kulikua hamna maana ya kuujua ukoo wa yesu kama yeye alikua sio wa dunia hii.. this whole thing proves that he was a normal human being kama mimi na wewe.
 
Ukisema wayahudi hawaamini ukristo unakua unajiaibisha hivi unaweza kusema waarabu hawaamini ukristo kisa majority ni Muslim?

Yesu mwenyewe alikua myahudi Bible imeandikwa na wayahudi.

Ukristu ulianzishwa na wayahudi wachache. Na ulipewa kipaumbele na watu wa jamii nyingine za kipagani lakini majority of jews mpaka leo hawaamini Yesu ni masihi wala hawaamini alikufa na kufufuka. Same to Arabs waliokuwa wanaishi eastern part. Majority walikuwa wanaamini Yesu alisaidiwa na watu katika kuepeka kifo baada ya kuleweshwa na vinegar na kulala nusu kaputi na kudhaniwa alikufa. Joseph akaomba amhifadhi kumbe amtibu na Yesu alitibiwa kwa siri na kupona. Hakufufuka na ndio maana alibaki kuwa mwili. Baada ya kupona msalabani alikuwa anakula kama mtu wa kawaida. Baada ya tukio la msalabani alienda kuishi Kashmir na mabaki yake mpaka leo kuna watu wanavisit Tomb yake ambayo amezikwa kwa kuelekezewa upande wa Jews wanavyozika.

Ukristu ulichochewa na wayahudi wachache lakini Nje ya Israel ndio ukristu ulienea zaidi ya ndani ya Jews. Mpaka leo
 
mkuu mi naona umekurupuka, ungesoma comments kwanza kabla ya kukurupuka, hayo unayoongea yameshajadiliwa, pitia post zilizopita..

since mungu anapenda kuua, angeweza kabisa kuwaua adam na eva, wafe na uovu wao, aumbe mwanadamu mwingine, kuliko kuwaambia wakazaliane na kisha kuleta mafuriko ili wafe.. ndio nini sasa!! wakati anawaambia wakazaliane hakujua kama uovu uliowaingia utaendelea kufanywa? au ndio method yake ya Depopulation halafu anasingizia dhambi?

huyu mungu bwana, tumeshamjua akili yake inafanyaje kazi, hatupi shida..

@ mseza.
 
point ni kwamba, ACCORDING TO THE BIBLE, hatukutakiwa kabisa kuishi maisha ya mateso.. THINKING THAT YOU DESERVE TO LIVE A MISERABLE LIFE IS A SIGN OF ABNORMALITY.

Tatizo Biblia haijaelezea the cause of Suffering katika deepest understanding. Inasema ilisababishwa na watu wawili kukiuka sheria ya kula tunda ambalo nalo liliumwa na mungu na kuwekwa bustanini na mungu.

To believe that generations should suffer because of the misconduct of two people, that is a sign of abnormality and unfair god/gods.

Na what is crazy, ni pale unapoamini the only way to save the word, someone must die to save us and we will eat his blood and meat. Thats a sign of a Zombie movie. Hata Waafrika walikuwa na imani yenye logic kuliko hizo myth.
 
mkuu kumbe unawazaga kama mimi.. bila kufikiri kwa umakini mtu unaweza kuamini vitu usivyovijua..

nilikaa nikafikiria nikasema hii practice ya kunywa damu ya yesu na kula nyama ya yesu makanisani au kwenye maombezi si ndio vitendo wachawi wanafanyaga na tunawaita maajent wa shetani? sasa practice gani hizi za kimungu zinalingana na practice za kichawi? halafu hapohapo wanamshangaa manyaunyau kunywa damu ya paka, kumbe na wao ni manyaunyau.

watu wanafanya vitu wasivyovijua na kuona sawa sababu kuna kambingu huko juu wameahidiwa..

hatari sana.
 
Tofauti kati yao na wachawi ni kuwa wao wana pesa, wapo organized, makanisa na majengo makubwa na wana power kubwa lakini wote ni wanaoamini kafara. Tumeshazoea mchawi lazima awe maskini, anavaa nguo za kutisha lakini mtu anaweza kuvaa vizuri na kikawaida na kuwa na jengo kubwa la imani lakini akafundisha concepts sawa na uchawi.

Uongo hata kama unaaminika na watu millioni utabaki kuwa uongo tu.
 
Biblia na Quran ni uongo ule ule tu.

Watu wanaobishana kuhusu Biblia na Quran wanacheza tu. Ni umasikini wa mawazo tu.

Quran inasema kuna watu Mungu kawafunga mioyo yao wasimjue.

Halafu atawahukumu kwa kutomjua.

Does that make sense?

See Contradictions in the Qur'an

Contradictions / Difficulties in the Qur'an
AKILI ZAKO NDOGO SANA HUWEZI KUELEWA HATA KIDOGO NA PUMZI ZINAKUDANGANYA SANA,KUTOELEWA KWAKO HAIMAANISHI KWAMBA MUNGU(ALLAH) AMEKOSEA NA UJUE KWAMBA KUNA WATU TUNA AKILI NYINGI ZAIDI YAKO LAKINI MANENO YA MUNGU(ALLAH) NI YA KWELI."KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI" kama neno hili linatimia kila siku bila hata ya mtu kupinga basi maneno yote aliyoyasema ALLAH ni ya kweli,sio lazima uamini we subiri siku yako ikifika ndio utajua kua ni kweli
 
Kiranga;
Ukishakubaliana na dhana kwamba Mungu yupo wakati haonekani, then it is not necessary that all the TBS (standards) we use in our daily life will make sense to our senses. Of course, some may and some may not! Kwa sababu katika hali ya kawaida kwetu sisi, viumbe ambavyo vipo huwa tunaviona na tunav-judge kwa kutumia standards zetu sisi wanadamu. Ukishamkubali Mungu kwmba yupo, usilazimishe standards zako za kibinadamu zi-apply na kwake pia. Otherwise, inabdi pia ulazimishe kwamba awe physically accessible, kama tulivyo sisi.

Kiranga nakupongeza una busara, just keep it up ila usilazimishe wale ambao wanaamini uwepo wa Mungu, Mungu wao a-obey rules and standards za kibinadamu. Kwa wewe unayeamini kuwa hayupo, uko sahihi asilimia 100%, ila siku ikitokea ukaamini kwamba yupo, then you'll need to change your stand. Kwa sababu ili uweze kuendana nazo, ukifanya hivyo then you'll need Him to be physically accessible.
Cha muhimu haa ni kwamba huwezi ku-set standards zako wewe mwanadamu halafu ukalazimisha na Mungu atumie hizo hizo, huyo hatakuwa Mungu tena ila utakuwa mu-ungu (mu-ungu=umoja wa neno miungu)
Regards,
Makanyaga
cc E=mcsquared
 
"KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI" kama neno hili linatimia kila siku bila hata ya mtu kupinga basi maneno yote aliyoyasema ALLAH ni ya kweli,sio lazima uamini we subiri siku yako ikifika ndio utajua kua ni kweli
mkuu, wakati nakua nimeshuhudia wakristo na waislamu wakitukaniana miungu yao, muislam anamtukana yesu, mkristo anamtukana Allah, muislam anamuita mkristo kaffir, mkristo anamuita muislam muabudu shetani.

kama kuangamizwa mngeanza kuangamizwa nyie mnaotukaniana miungu yenu, lakini mpaka leo bado mpo mnadunda tu, sasa hizo laana hewa za kazi gani, si bora uokoe pumzi yako ukaitumie kwa mkeo.

huwezi ukamtishia mtu jambo baya sababu hata hao wacha mungu yanawafika..
 
Tofauti kati yao na wachawi ni kuwa wao wana pesa, wapo organized, makanisa na majengo makubwa na wana power kubwa lakini wote ni wanaoamini kafara. Tumeshazoea mchawi lazima awe maskini, anavaa nguo za kutisha lakini mtu anaweza kuvaa vizuri na kikawaida na kuwa na jengo kubwa la imani lakini akafundisha concepts sawa na uchawi.

Uongo hata kama unaaminika na watu millioni utabaki kuwa uongo tu.
Uongo mara nyingi hujitenga na mabishano sio suluhu ya kufanya Mungu asiwepo, kila mmoja alijikuta yupo duniani hata ukimuuliza anayebisha wakati yupo tumboni alikuwa anajiona, au kabla ya tumboni alikuwa wapi hawezi kukueleza
mkuu, wakati nakua nimeshuhudia wakristo na waislamu wakitukaniana miungu yao, muislam anamtukana yesu, mkristo anamtukana Allah, muislam anamuita mkristo kaffir, mkristo anamuita muislam muabudu shetani.

kama kuangamizwa mngeanza kuangamizwa nyie mnaotukaniana miungu yenu, lakini mpaka leo bado mpo mnadunda tu, sasa hizo laana hewa za kazi gani, si bora uokoe pumzi yako ukaitumie kwa mkeo.

huwezi ukamtishia mtu jambo baya sababu hata hao wacha mungu yanawafika..

Kiranga;
Ukishakubaliana na dhana kwamba Mungu yupo wakati haonekani, then it is not necessary that all the TBS (standards) we use in our daily life will make sense to our senses. Of course, some may and some may not! Kwa sababu katika hali ya kawaida kwetu sisi, viumbe ambavyo vipo huwa tunaviona na tunav-judge kwa kutumia standards zetu sisi wanadamu. Ukishamkubali Mungu kwmba yupo, usilazimishe standards zako za kibinadamu zi-apply na kwake pia. Otherwise, inabdi pia ulazimishe kwamba awe physically accessible, kama tulivyo sisi.

Kiranga nakupongeza una busara, just keep it up ila usilazimishe wale ambao wanaamini uwepo wa Mungu, Mungu wao a-obey rules and standards za kibinadamu. Kwa wewe unayeamini kuwa hayupo, uko sahihi asilimia 100%, ila siku ikitokea ukaamini kwamba yupo, then you'll need to change your stand. Kwa sababu ili uweze kuendana nazo, ukifanya hivyo then you'll need Him to be physically accessible.
Cha muhimu haa ni kwamba huwezi ku-set standards zako wewe mwanadamu halafu ukalazimisha na Mungu atumie hizo hizo, huyo hatakuwa Mungu tena ila utakuwa mu-ungu (mu-ungu=umoja wa neno miungu)
Regards,
Makanyaga
cc E=mcsquared

AKILI ZAKO NDOGO SANA HUWEZI KUELEWA HATA KIDOGO NA PUMZI ZINAKUDANGANYA SANA,KUTOELEWA KWAKO HAIMAANISHI KWAMBA MUNGU(ALLAH) AMEKOSEA NA UJUE KWAMBA KUNA WATU TUNA AKILI NYINGI ZAIDI YAKO LAKINI MANENO YA MUNGU(ALLAH) NI YA KWELI."KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI" kama neno hili linatimia kila siku bila hata ya mtu kupinga basi maneno yote aliyoyasema ALLAH ni ya kweli,sio lazima uamini we subiri siku yako ikifika ndio utajua kua ni kweli
 
Acha kujishaua...bado siku hizi unatishia watu na "nimetembea nchi nyingi"?

Hebu acha utoto,unaweza tembea from north to south na bado usijue kua hujui...mikwara ya kibwege namna hiyo kawapige watoto..

Tukianza kutaja kila nchi kila mmoja humu aliyotembelea JF itatosha kweli?

Fanya mjadala at hand sio unaanza na mikwara ya "unajua mi ni open minded sana",so what?

Hoja ni kwamba biblia in full of inconsistencies and contradictions,bisha hili kwa hoja sio upuuzi wa kutembelea nchi,tuache basi hoja hii tuanze tuscan passports tuanze kihesabu mihuri tujue nani kasafiri zaidi ya mwingine
Mkuu umenichekesha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom