Ni kweli Allys anamfanyia fitna Katarama au ni stori ya vijiweni?

Ni kweli Allys anamfanyia fitna Katarama au ni stori ya vijiweni?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Yani Katarama ikotoka kesi hii inakuja kesi nyingine, kama sasa hivi wana soo nyingine huko LATRA.

sasa wahuni mtaani wanasema allys roho inamuuma maana competition ya Katarama ni next level ndio maana anamfanyia majungu na fitna.
 
Hizi fitana zinatokaga kwa nyinyi mafukara msiomiliki hata tairi la basi, si ajabu Allys na Katarama ni washikaji wakubwa sana
 
Kwamba hizo shutuma anazoshikwa nazo sio za kweli ama ? Kama ni za kweli basi cha kujiuliza ni kwanini na wengine hawashikwi au kama hizo sababu hazina maana basi ziondolewe ili kila mtu aweze kufanya anachofanya huyo Katarama....

Mara nyingine bora kulalamikia sheria kwamba haifai na sio kwanini tunakamatwa sana au wengine hawakamatwi...
 
Back
Top Bottom