badala ya kwenda kucheki ukimwi ambao hauna chanjo wala tiba una wasiwasi wa mimba, hiyo ya mimba ni majaaliwa tu kama vp jiandae kuitwa baba. Ila kacheki ngoma fasta maana uenda mpira ulipopasuka ulikwaa virusi
Km Ana mzunguko wa 28 days possibility kubwa ya kuingia ujauzito ipo na tena baby girl. Mana ni first 4 days za unsafe days
Hahaha...nimesikia tu kuwa kuna njia zitafungwa kwa muda ili hawa wageni waweze pita kwa urahisi ila mpaka wakati huu sijajua ni barabara zipi haswa...
jana nimeingia home saa 3:30 usiku foleni ya tazara na airport....
Mnatutia uvivu. Hivi uvulana unaanzia miaka mingapi na kuishia mingapi? Unafanya matusi kama unafyagia lami hadi condom inapasuka, lakini haujui kuhesabu siku za hatari! Karibia unashikishwa mimba wewe
Duh!!!...mkuu inabidi uhamie mjini kwa muda
tulishawahi kwenda kupima yeye yuko safe na mimi pia, ila wasiwasi wangu upo hapo kwenye mimba tu! Mana inataka kuja wakati tusioutarajia...
Mkuu, suala lako limepata mtaalamu wa uzazi.
Utangulizi:
Mosi tambua kwamba,siku ambayo ulifanya mapenzi na kimada wako ni siku ya 15 katika mzunguko wake wa hedhi.
Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa kawaida yaani siku 28, kwake hiyo ni siku ya hatari.
Labda nikupe kanuni rahisi ambayo itakusaidia wewe na wengineo.
N - 14days = M
N = Jumla ya siku ambazo mwanamke anatumia kutoka bleed moja hadi nyingine au Jumla ya siku za mzunguko mmoja wa hedhi.
M = Siku ambayo yai hupevuka na kuwa tayari kurutubishwa.
Sasa kwa mwanamke mwenye mzunguko wa kawaida ambao ni siku 28, kanuni itatumika kama ifuatavyo:
N = 28 , je M = ?
N - 14 = M
28 - 14 = 14
Hivyo mwanamke huyu siku yake ya upevushaji yai ni ile ya 14.
Hivyo tumia kanuni hiyo kwa mwanamke yoyote mwenye idadi ya siku za mzunguko zozote.
Siku za hatari ni zipi?
Siku za hatari ni hizi M - 3, M - 2, M - 1, M, M + 1, M + 2, M + 3.
Ila binafsi huwa nashauri kuwa salama zaidi, mtu asifanye mapenzi siku 5 kabla na baada ya siku ya upevushaji wa yai.
Ushauri;
Muulize kimada wako idadi ya siku zake za mzunguko halafu tumia kanuni hiyo.
Habari zenu wana jamv!.jaman mwenzenu ninanatatizo na ninahitaji msaada wenu wa kimawazo mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 23 ninampenzi wangu ambaye hivi majuzi tar25 nilipata nafasi ya kujirusha naye na kwakua aliniambia anahisi yuko kwenye siku zake za hatari basi tulitumia zana. Lakini kwa bahati mbaya wakati wa tendo mpira ulipasuka na kusababisha nimwage shahawa ndani na kufanya mimi na mpenzi wangu kuwa na wasiwasi wa kuwa anaweza kuwa ameshika mimba ambayo hatukuitarajia sasa naomba kuuliza; kwa kua aliniambia aliingia kwenye damu ya mwezi tar 11 na mimi nilikutana naye tar25 mwez huu je anaweza kuwa ameshika mimba? USHAURI WENU PLZ, NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU.
Ila mara nyingi wanawake wanapaswa wawe wakali wakati wa ovulation kuepuka mimba zisizotarajiwa...
Bahati mbaya huo ndio wakati ambao mwanamke huwa na genye mshindo kuliko wakati wowote wa mwezi...