Ni kweli anavyodai SATIVA kuwa Mtandao wa Simu (Halotel) umehusika 'kumuuza' Humphrey Polepole?

Hawa ndo vijana waliotumwa kuuaminisha umma kuwa hp katekwa!
Mambo ya ******* kabisa
 
kodi ya NYUMBA 20000?
 
Au wewe ndio ulikuwa unataka kumtumua hiyo 20000 kabla ya kutuma uka screenshot, sio kitu cha msingi hapo.
Alichosema na walipoegemea ni vitu viwili tofauti ila mimi binafsi nimemwelewa alichokimaanisha ni nini, halotel wanayo haki ya kuthibitisha kua hizo tuhuma ni za kweli au sio za kweli ingawa taarifa za mteja ni siri hapaswi kupewa mtu mwingine yoyote
 
Kama ni kweli kuhusu hii issue ya Halotel basi Polepole atakua ni mjinga sana. Hakujua kua kama mtu uko chini ya maji hutakiwi kutumia simu na vitu vyovyote vitakavyotoa location??? Ila mimi kama mimi naona hio kitu sio kweli eti mama mwenye nyumba ndio alitoa code .
 
Nenda kamuulize
 
ndio maana nawambia hakuna kundi la wapumbavu kama hawa wanaojita wanaharakati wa upinzani chadema kazi yao ni kuzua ujingaujinga tuh mamlaka zikichukua sheria oh tunaonewa
chadema wanapakaa asali kwenye kichwa unaiona tumu ee
 
Sema binadamu wa sasahivi wanyama sana yani maoni ya wadau humu ni as if wengi humu wananeemeka na yanayoendelea, Usikute humu pia wahusika mpo bhana tunachorana.
 
Nami nami nakesha kama CNN nikisoma yote hata yanayoandikwa humu.
 
Sasa si wangemshirikisha na polepole aondoke jamani😭😭😭
Japo najua asingewza kuondoka maana lazima walikuwa nje wanasubiri tu giza liingie
 
Ukiwasha simu yako hata kama umezima data na huitumii,,,tayari umeshajijulisha wewe uko wapi..

Kama unatafutwa na upo ndani ya nchi zipo njia nyingi za kukupata.

Kabla ya mitandao watu walikua wanakamatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…