Acha kutetea yanayolididimiza taifa hiliWabongo bhana, Sasa hapo mbona n kama n mtu mwingine ndo anamtumia pesa polepole, n sawa na mm nichukue hy namba yake afu nitume pesa, Sasa hapo Kuna taarifa gani za polepole mpaka kushikwa?
Kwan Kuna mtandao wa simu hawajui watumiaji wake mpaka wakae kusubiri miamala kufanyika?
Sasa hv kila mtu ni CIA
Umeelewa nilichokiandika?Acha kutetea yanayolididimiza taifa hili
Wengi hivi sasa katika taifa letu ni muda wa kukaguana wote wanaolisaliti taifa waingie kapu lao na Wazalendo waandaliwe mahalipao,tungefanya hivi sikuzote tusingekuwa na chawa,uchawa,wanamtandao,mafisadi ama wezi,ama wahujumu wa maendeleo ya taifa letu.Umeelewa nilichokiandika?
Narudia tena, Umeelewa nilichokiandika mwanzo?Wengi hivi sasa katika taifa letu ni muda wa kukaguana wote wanaolisaliti taifa waingie kapu lao na Wazalendo waandaliwe mahalipao,tungefanya hivi sikuzote tusingekuwa na chawa,uchawa,wanamtandao,mafisadi ama wezi,ama wahujumu wa maendeleo ya taifa letu.
Hivi sasa elimu ni juu ya uzalendo pekee,hata wanaodai kutosikia wasikieNarudia tena, Umeelewa nilichokiandika mwanzo?