Elections 2010 Ni kweli Anna Makinda anaandaliwa kuwa rais?

Elections 2010 Ni kweli Anna Makinda anaandaliwa kuwa rais?

It is too early now to talk about her. Mwacheni apambane na mafisadi kwanza

Are you sure? Apambane na ufisadi Makinda? Ataendeshwa mpaka ajute kugombea uspika wait and see. Kuhusu urais do not even think.
Tanzania iko kwenye mess anatakiwa aje mtu strong kuisafisha Tanzania na kuiweka kwenye right path,
 
Kwakuwa yeye ndio aliyesema basi tumuache tuone kwani hata yeye anashaka ndio maana kasema kuwa '' nikifanya mambo ya kueleweka miaka hii mitano basi naweza......''hapa yeye mwenyewe anajua wazi kuwa hatofanya kazi ya maana. Na ni wazi kuwa anajua kuwa hataweza hata kugombea Urais.

"YOTE HAYA YANA MWISHO"
 
who cares? if they want they will do whatever it takes to make it done
 
Back
Top Bottom