Kwakuwa yeye ndio aliyesema basi tumuache tuone kwani hata yeye anashaka ndio maana kasema kuwa '' nikifanya mambo ya kueleweka miaka hii mitano basi naweza......''hapa yeye mwenyewe anajua wazi kuwa hatofanya kazi ya maana. Na ni wazi kuwa anajua kuwa hataweza hata kugombea Urais.
"YOTE HAYA YANA MWISHO"