Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Wakuu nikiri Mimi ni muumini wa haki bila kujali chama chochote Cha kisiasa.
Maslahi ya taifa na nchi yetu ndo muhimu zaidi kuliko maslahi ya chama au maslahi ya Kiongozi yoyote kwenye nchi hii
Nianze kunukuu maandiko ya Mfalme mwenye hekima aliyeandika na ukaingia kwenye maandiko Mtakatifu
34 Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote. Mithali 14:34
Msingi wa haki ni kuanza kuchagua viongozi kwa misingi ya haki. Tusitegemea kiongozi aliyechaguliwa pasipo haki atende haki.
Aibu kubwa tuliyonayo kwenye maeneo mengi ya Taifa lenye rasilimali za kutosha kujiendendesha lenyewe sababu majawapo ni Rushwa
Hili ni la kukemewa mapema Kila chama kipambane kivyake kwa haki atakayeshinda ashinde