Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
- #21
Tukiendesha chaguzi kihuni tutarajie viongozi wahuni na hakuna maendeleo ya kihuniYaani ni Ujinga mtupu unaendela. Haiwezekani, Wapinzani peke yao tu washindwe kujaza hizo form halafu CCM wote wakaweza. Unless CCM ni tofauti na Watanzania wengine.
In fact walioupinzani wengi wao wamesoma na wamefunguka zaidi kiakili kuliko walioko CCM .... Hiyo ni fact hata kama kuna atakayepinga. Yaani, kama Msukuma au Maji Marefu (RIP)wanaweza kujaza form vizuri kweli kuna mgombea mgombea atashindwa..!?