hivi ni kweli kuwa hii BCS OF ELECTRICAL AND ELECTRONICS ENGINEERING NI NGUMU SANA!
Unauliza karafuu pemba!! Ni ngumu ukiwa serious unamaliza, kakaze msuli askari wangu.
kaka hapo pcb anaweza akamaliza?
hivi ni kweli kuwa hii BCS OF ELECTRICAL AND ELECTRONICS ENGINEERING NI NGUMU SANA!
si ulisema PCB hasumbuliwi na engineeering??haya tia mkono sasa uone..mm jamaa yangu alisoma FTC na amerudia mwaka hapo kwa wahindi..
ushaanza kutishika
asitishike ila kama hawezi mathematics itakuwa balaa zaid
Yaani hiyo shahada tayari imeshakupiga chini!! Utaendaje vitani huku tayari miguu inatetemeka? Unakaa kusikiliza mambo ya kijiweni?
maths ni balaa
maths ni balaa