Kuna engineering math huko ya kufa mtu..kama ulisoma bam yako topic tatu unapata S huko lazima ukae..but ni jitihada yako
maths ni balaa
Ngumu sana kwa nani?
Mkuu hesabu zenyewe wanazo zisema ngumu ukiziona utacheka!
Wala hazizidi hata Calculas # 2 na topic zingine ni element of calculas tu!
Mkuu ushasoma hata semister moja?? Umejuaje kwamba atakaa akat hujasoma hata wiki moja chuon!! Hamna somo zuri kama maths chuon hasa kwa engineering!!!
Watoto wa arts waliokuja kwa bahati mbaya kwenye engineering bhana shidaaaa tupuuuuii!
kaka ubalaa wake ni upi?! Mbona rahisi tu
mi sio kaka,ni dada ako
unatupagaa shidaa sana kutokana na comment zakoo tunashindwa kutambuaa kama ke au me!!
daah! umenifany nicheke kwa saut mbele za watu, af wameniangalia si ntaonekana chizi! ila asiogope kawaida 2!
acha kutishana hata kama mtu alisoma pcb ila chuoni kuna engineering maths and mechanical maths mtu aki2lia anatoka sio kama pcb wote hawajui maths.
we vpii kwan mi nimekwambia hujui math! xoma na uelewe nilicho andika bhana!
,..,..,.,....,.jkt hiyo
ananivuruga bhana, jkt inivuruge naye anivurugee! aaagghhh!! acnipande kichwani mi xaiz!
Itabidi uende wakakufunze maadili mema usije ukatugomea bure huko chuoni teh