Ziroseventytwo JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 8,581 Reaction score 15,618 Feb 5, 2024 #1 Niliwahi kusoma kwenye gazeti la RAI kuwa tuliagiza udongo toka Misri kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro enzi za Serikali ya mzee Mwinyi. Inadaiwa ni kipande cha kutoka Fire kwenda Kimara. Kuna ukweli kwenye hili?
Niliwahi kusoma kwenye gazeti la RAI kuwa tuliagiza udongo toka Misri kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro enzi za Serikali ya mzee Mwinyi. Inadaiwa ni kipande cha kutoka Fire kwenda Kimara. Kuna ukweli kwenye hili?