Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

Mayova

Senior Member
Joined
May 10, 2018
Posts
189
Reaction score
132
Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu.

Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
 
Hata sielewi lakini Kuna kiduka kipo sehemu hapa uswahili hatuweki akiba na kila siku mtaji hauongezeki

Haya mambo huenda yapo ila usitafute jinsi ya kupambana nao tafuta jinsi ya kujikinga tu
 
Utajikingaje mzee wangu
 
Hata sielewi lakini Kuna kiduka kipo sehemu hapa uswahili hatuweki akiba na kila siku mtaji hauongezeki

Haya mambo huenda yapo ila usitafute jinsi ya kupambana nao tafuta jinsi ya kujikinga tu
Kiduka ni cha kwenu au?
 
Hata wachawi na waganga wanamuomba Mungu, na wewe muombe akupe ulinzi utakua salama
 
Ni kwel unaweza kufanikiwa kumiliki magari pesa nyumba bila kwenda kwa waganga au kwa manabii ???
 
Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu.

Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
yafatayo ni mashariti ya biasha

1 wazo la biashara na biasara yenyewe sehemu ya kununulia kuuzia faida hasala

2 mtaji

haya dio mashariti konki ya biashara

ukitaka kuaribi biashara yako nenda kwa hao washenzi wanao jiita waganga wa biashara
 
Back
Top Bottom