Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Nenda na imanj yako uone.Kila kitu imani tu. Ukiamini bila ndumba hutoboi basi juwa hutotoboa kweli.
Ndo iko hivo kiongoziHabari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea so kua makini.
Nanunua dagaa kavu nasafirisha.Ziwani unafanyeje? Unanunua samaki na kuuza ama unaingia kuvua mwenyewe
Sina mpango wa kwenda ziwani ila ingekuwa muendaji ningeenda na imani moja tu, kufanikisha kilichonipeleka.Nenda na imanj yako uone.
Kama huamini?Uchawi upo kila kona kama unaamini.
Wavuvi wana chale kila kona wale.Hio ndumba inawahusu wale wavuvi pure wengi sana wanatumia ndumba kuna kisa kimoja nikitulia nitakuja kuleta hapa ila hayo mambo yapo
Vingine sio ndumba bali ni mambo ya kimila na taratibu za kwenda hukoHabari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea so kua makini.
Hata ajira siku hizi kama huwangi kuoboa ni ngum sana.Mi nnachojua biashara nyingi zunazohusu spirit sio rahisi kutoboa hivi hivi,ziwa,baharia,madini ni sacred yaani zinakuwa controlled na roho asikudanganye MTU eti utaenda kuchukua hizo resources kawaida kawaida Tu,hata kama utasali Ila umesha intervene spirit!