Ni kweli biashara za ziwani au baharini na madini bila uchawi hautoboi?

Una nauli ya kutoka huko uliko mpaka Dodoma? Kuna fundi huko, ukiwa tayari nipigie nikupe namba zake ukafanye unayo taka maana imani yako kwa sasa iko upande huo.
Kwenye upimaji pale wa dagaa nasikia uchawi upo unaona ndoo inajaa kumbe imewekwa nusu na kweli mzigo ukifika sokoni hua nalalamikiwa kua haujatimia vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…