Ni kweli Bodaboda haina madhara ama ni hofu na woga wa wanasiasa unaowafanya wagombane?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake?

Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama.

Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi ama ni ajira?
 
Kuna watu wanalisha familia kupitia bodaboda. Kuna mwamba kwa siku analaza mpaka elfu 70, siku akikosa sana sana elfu 30. Hii inapunguza wizi na watu wanajiajiri sasa hawa wanaopinga bodaboda kesho mnalalamika panda Road. Ina maana lema hapandi bodaboda?
IMG-20230308-WA0102.jpg
 
Kuna watu wanalisha familia kupitia bodaboda. Kuna mwamba kwa siku analaza mpaka elfu 70, siku akikosa sana sana elfu 30. Hii inapunguza wizi na watu wanajiajiri sasa hawa wanaopinga bodaboda kesho mnalalamika panda Road. Ina maana lema hapandi bodaboda? View attachment 2543535
Napingana na wewe
 
Kuna watu wanalisha familia kupitia bodaboda. Kuna mwamba kwa siku analaza mpaka elfu 70, siku akikosa sana sana elfu 30. Hii inapunguza wizi na watu wanajiajiri sasa hawa wanaopinga bodaboda kesho mnalalamika panda Road. Ina maana lema hapandi bodaboda?
Madhara yatokanayo na uendeshaji wa bodaboda na mtu kulisha familia ni mambo mawili tofauti. Hata wazua Cocaine nao wanalisha familia, unataka kusema Cocaine haina madhara kwa binadamu kwa kuwa tu kuna watu wanalisha familia kwa kuuza Cocaine??
 
Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake?

Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama.

Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi ama ni ajira?
1678387493188.png
 
Wewe unafikiri kuna kazi isiyokuwa na madhara?
Wengine wanaingia ofisini anakalisha tako masaa mengi hujui kuwa wana madhara?

watu wengi ofisini wana mapresha na mavitambi ina maana huoni?

Madhara ya bodaboda pia yanawepeka, huoni wanavaa vest na helmet?
 
Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake?

Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama.

Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi ama ni ajira?
 
Attachments

  • Screenshot_20230328-124923.png
    Screenshot_20230328-124923.png
    429.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230328-125058.png
    Screenshot_20230328-125058.png
    125.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230328-124958.png
    Screenshot_20230328-124958.png
    193.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom