Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Napingana na weweKuna watu wanalisha familia kupitia bodaboda. Kuna mwamba kwa siku analaza mpaka elfu 70, siku akikosa sana sana elfu 30. Hii inapunguza wizi na watu wanajiajiri sasa hawa wanaopinga bodaboda kesho mnalalamika panda Road. Ina maana lema hapandi bodaboda? View attachment 2543535
Ni mtazamo wako hatuwezi fanana mawazo ndugu yangu. .Napingana na wewe
Madhara yatokanayo na uendeshaji wa bodaboda na mtu kulisha familia ni mambo mawili tofauti. Hata wazua Cocaine nao wanalisha familia, unataka kusema Cocaine haina madhara kwa binadamu kwa kuwa tu kuna watu wanalisha familia kwa kuuza Cocaine??Kuna watu wanalisha familia kupitia bodaboda. Kuna mwamba kwa siku analaza mpaka elfu 70, siku akikosa sana sana elfu 30. Hii inapunguza wizi na watu wanajiajiri sasa hawa wanaopinga bodaboda kesho mnalalamika panda Road. Ina maana lema hapandi bodaboda?
Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake?
Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama.
Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi ama ni ajira?
Bodaboda sio kazi ni laana.
Wewe unafikiri kuna kazi isiyokuwa na madhara?Madhara yatokanayo na uendeshaji wa bodaboda na mtu kulisha familia ni mambo mawili tofauti. Hata wazua Cocaine nao wanalisha familia, unataka kusema Cocaine haina madhara kwa binadamu kwa kuwa tu kuna watu wanalisha familia kwa kuuza Cocaine??