Ni kweli chuo mwezi wa kwanza

Ni kweli chuo mwezi wa kwanza

eno masa

Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
17
Reaction score
0
Jamani wadau naombeni mniweke wazi juu ya huu utata maana imekua gumzo sasa
 
Nyie vijana ndo maana mnapata division zero au four kwenye matokeo yenu mashuleni, kwa upeo wako unaona bandiki lako limekamilika kwa wana JF kuweza kukuelewa?

Ukisikia majanga ndo haya!
 
brookly »mdau ilyetoa post yuko xahh cha msng apo n kusema kama unajua au la??

»Mdau io ktu yaweza kua n kwel mana kuna F6 wataenda JKT awamu ya 3 na watakaa miez 3 kwa ioo yawezekana???
 
Last edited by a moderator:
Jamani wadau naombeni mniweke wazi juu ya huu utata maana imekua gumzo sasa

Ingekuwaa gumzo, ungeweka maelezo uliiyoyapa hapa, otherwise unaambukiza utata wako kkwa wengine!
 
Chuo mwezi wa Kumi kijana punguza papara........
 
kwa kuwa hakuna tamko lasmi la serikali basi hakutakuwa na mabadiliko yoyote kuusu kujoin chuo mwaka wa masomo 2013/14.
 
Mbona mada ipo wazi, labda wewe ndo uliefeli. Au ulitaka akwambie "rejea kichwa cha mada hapo juu".
Ambae hajaelewa asimlaumu mtoa mada ila atambue kuwa yeye ni "ZUZU"
 
Hata mi nasikia......waliotka jkt juzi wanasema baddo awamu nyingine mbili ukiachana na hii ya sasa.....kuna ya mwezi wa 9 wenye 3 arts halafu mwezi wa kwanza wenye 4 na zero....mkakati ni kuhakikisha vijana wote wanapitia jkt mwaka wetu na kuendelea
 
Wale wenye I,II na III za sayansi walioachwa watakwenda awamu ipi?
 
Back
Top Bottom