Ni kweli Club kubwa Kinshasa imebadili jina nakuwa FC magufuli?

Ni kweli Club kubwa Kinshasa imebadili jina nakuwa FC magufuli?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
download.png
Iliitwa DC motemapembe

FB_IMG_1724751811115.jpg

Wachezaji wake wameonekana wamevaa jezi ya magufuli
 
Hpo magufuli imekaa kama mdhamini, sasa tujiulize ni kampuni inaitwa magufuli au wao DCmotema Pembe wameamua tu kuandika jezi zao magufuli.
 
Magufuli NI jina la Kibantu.

Wakongo ni wabantu.

Si kila Magufuli ni Yule kazikwa Chato
 
Back
Top Bottom