Ni kweli Club kubwa Kinshasa imebadili jina nakuwa FC magufuli?

Hpo magufuli imekaa kama mdhamini, sasa tujiulize ni kampuni inaitwa magufuli au wao DCmotema Pembe wameamua tu kuandika jezi zao magufuli.
 
Magufuli NI jina la Kibantu.

Wakongo ni wabantu.

Si kila Magufuli ni Yule kazikwa Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…