Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Wakuu nipo nafanya individual assessment hapa. Wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya mwaka huu wa fedha 2024/2025 waziri wa fedha alisema kuwa deni la taifa limeongezeka kwa sababu shilingi yetu imedorora dhidi ya dollar ya Marekani.
Zaidi ya shilingi za kitanzania tirioni 5 zimeogezeka kwa sababu ya kuimarika kwa Dollar ya Marekani. Wakuu hapa Kuna namna wakuu hii pesa ni ndefu mno asee. Yaani trioni 5 zote ndani ya mwaka? Hapana wakuu kichwa kimewaka kinyama hapa sielewi.