Ni kweli deni la taifa limepanda kwa zaidi ya trioni 5 kwa sababu ya kuimarika kwa Dola ya Marekani?

Ni kweli deni la taifa limepanda kwa zaidi ya trioni 5 kwa sababu ya kuimarika kwa Dola ya Marekani?

Dola haijapanda kwa zaidi ya shilingi mia 4 hilo kumbuka, kingine madeni mengine ni ya ndani ambayo hayahusiani na dollars za Marekani. Hapa Kuna vizi chiefu.
Sasa convert Hilo deni kwenda TSH Kisha zidisha Mara 400
 
Back
Top Bottom