Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hata kama Mzee pesa tirioni 5 ni zaidi ya USD 2 billion.Sasa kama 1usd =2650.34 hii n kwa rate ya leo hii.
Labda kwenye makubaliano hakuna standard rate ya kulipia deni maana hua zinapanda na kushuka.
Na je ikitokea tsh imeiimarika 1usd=1500tshs watakubali kupokea hela yao maana itapungua.
Suluhisho la suala hili ni lipi mkuuDeni lipo denominated in dollar terms , external borrowing hapa ndo nagusia.
It fluctuates kulingana na rate ya exchange , inaongezeka kwa kuwa currency yetu inaslide kila kukicha. Hali Itazidi kuwa mbaya kila kukicha , the only solution wanayo ni borrowing which will make the debt balloon even more .
Kama kuhonga jenga in the next ten 10 years mbele sioni unafuu wowote.
Mbona ni hesabu rahisi tu hizo,piga hesabuWakuu nipo nafanya individual assessment hapa. Wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya mwaka huu wa fedha 2024/2025 waziri wa fedha alisema kuwa deni la taifa limeongezeka kwa sababu shilingi yetu imedorora dhidi ya dollar ya Marekani. Zaidi ya shilingi za kitanzania tirioni 5 zimeogezeka kwa sababu ya kuimarika kwa Dollar ya Marekani. Wakuu hapa Kuna namna wakuu hii pesa ni ndefu mno asee. Yaani trioni 5 zote ndani ya mwaka? Hapana wakuu kichwa kimewaka kinyama hapa sielewi.
Kuna uhusiani gani wa uchumi kukua na mkopo kukua?..watanzania wengi wavivu kufikiriUchumi wetu unakuwa kwa asilimia 5 halafu mkopo unapanda kwa zaidi ya asilimia 7 kweli?
Wewe huoni ninacholenga hapo? Deni kama litakuwa linaongezeka kwa asilimia 7 huku GPD ikikua kwa asilia 4 unaona Kuna unafuu hapo?Kuna uhusiani gani wa uchumi kukua na mkopo kukua?..watanzania wengi wavivu kufikiri
Hii siyo logic kwenye comment yako,na wamesema ongezeko la deni kwa kuwa shilling ime-depreciateWewe huoni ninacholenga hapo? Deni kama litakuwa linaongezeka kwa asilimia 7 huku GPD ikikua kwa asilia 4 unaona Kuna unafuu hapo?
Najua vizuri sana lakini haziingii akilini iwe tirioni 5 mzeeMbona ni hesabu rahisi tu hizo,piga hesabu
Tirioni 5 kusema iwe kwa sababu ya kushuka kwa thamani ndani ya mwaka mmoja tu si kweliWatu hawana pesa ya kampeni.
Deni billions of dollars piga Mara ongezekoNajua vizuri sana lakini haziingii akilini iwe tirioni 5 mzee
Dola haijapanda kwa zaidi ya shilingi mia 4 hilo kumbuka, kingine madeni mengine ni ya ndani ambayo hayahusiani na dollars za Marekani. Hapa Kuna vizi chiefu.Deni billions of dollars piga Mara ongezeko