Sasa team mashabiki wao wanaingia bure kiufupi yanga haijawahi kujaza taifa.Kuna mjadala unaendelea mitandaoni juu ya hali ya hamasa kuelekea mechi ya kesho.
Mashabiki wengi wa Simba pamoja na viongozi wao wanasema derby hii imepoa kwa sababu wao sio wenyeji na hawajahusika kwenye promotion ypa mchezo.
Mashabiki wa Yanga wanasema derby haijapoa. Lakini kwa nionavyo mimi derby hii imepoa na sababu kuu ni upande wa Simba kutojiamini kama watatoka salama.
Hakuna kingine
Saa 11 jioni.Game inaanza saa ngapi?
Mnyama anatakiwa achinjwe mapema sana, mbona wanachelewa?Saa 11 jioni.
Mnyama anatakiwa achinjwe mapema sana, mbona wanachelewa?
Leo kazi wanayo.Mnyama anatakiwa achinjwe mapema sana, mbona wanachelewa?