Bila kuvuliwa? No lazima kuvuliwa.Nakumbuka Pete ya ndoa ya wyf ilipotea katika mzingira tata mpk Leo hatukuiona
Inawezekana ni kwa sababu uchimbaji hufanywa kwa kutumia uchawi na makafara (inasemekana lakini)ata mimi nilisikiaga kitu kama hicho....then nakumbuka kuna mtu alishawahi kunionya kutokuingia kwenye vyanzo vya maji ukiwa na dhahabu...iwe pete ama cheni ni lazima mwisho itakutoka pasipokutegemea
Asante sana. Kinachoniuma zaidi ilipotea siku ya tano ya ndoa yanguAisee....pole sana
Haikuwa kama hivyo unavyofikiri coz nakumbuka tukio zima ilivyokuwa jaribu kufanya research kwa wakina mama walioolewa Pete zao nyingi huwa zinapotea katika mazingira tata japo hata hii yako inaweza kuwa sababu na kwanza wanaume ndio wanaongoza Kwa kuvua Pete ili waonekane singleBila kuvuliwa? No lazima kuvuliwa.
Pete ya ndoa huvuliwa wakati gani? Unapotaka uonekane single.
Kwanini uonekane single? Ili nichepuke.
Huwezi kuchepukia ofisini, ulikua wapi? Lodge.
Kwahiyo pete itakua wapi? Lodge.
THIS IS FICTION