Ni kweli!
Kwa sisi tulioko machimboni hili ni kweli kabisa, Dhahabu iliyokamuliwa kabla haijachomwa, usipoifunga na kitu chochote aither kwenye kanga ama kitambaa, inapotea!
Nimepoteza dhahabu ndogo mara 2 kwa kuweka kwenye kasha la kiberiti bila kuifunga.
Leo tu nimejisahau tena nimepoteza ingine niliiweka wenye kasha la kiberiti bila kuifunga...nikiwa nimetoka kukamua tu kwenye mekiri. Kama nusu gram hivi(point5)