Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah, diamond wa miaka ile sio sawa n wa Leo,
Mmmm binamu wacha hizo!!!!!!
Mmmhhhh hh bado hajashuka banaa!!
Haya alidanganya kanunua sijui mtaa mzima mwananyamala hakuna cha mtaa wala kibanda alichonunua, maana tungeona kwenye picha tu, tatizo anapenda sana sifa wakat hata hela zenyewe hana. binamu unakumbuka vile vifaa ambavyo ndomo aliahid kuvinunua baada ya wiki mbili? Na ile nyumba aliyoahid kumnunulia wema?

Nimevuka mipaka binamu eeh? Tatizo muongo muongo sana, anajifanya ana hela kumbe wapi, nasikia na ile Prado ya chief kiumbe mwenyewe kachukua ipo yard kachube inapigwa bei, hana nyumba yeyote isipokuwa ile ya tegeta anayojenga miaka nenda rudi, halaf ndo anasema kwenye account ana zaidi ya billion kweli binamu? Au namsingizia? Uwe na billion kwenye account halaf uish nyumba ya kupanga, ebu changanya akili za kuambiwa na za kwako utapata jibu, japokuwa inasemekana yeye analipwa pesa nyingi kuliko wenzie ila bado hana pesa za kihivyo, alitak kununua hyo Prado kwa kiumbe hela ikamshinda mwenyewe kachukua chake
Lakin binamu hapa tunaongelea kimziki au sio mafanikio yakee!!!!!!!!
Najua binamu, ila kaka yako siku izi sio tishio kama miaka ya nyuma, japokuwa nasikia sijui nyimbo yake imeshika namba moja cjui trace, apa binamu uwe mpole bhana ndug yako anakaribia kuchikichia, tatizo anaendekeza sana stareh na vipochi manyoya aka vipwapwiso

Msiseme hvyo jameni
Ntake radhii sina kaka anaebadilisha wanawake kama boxer yake!!!!atakomaje mwache aendekeze vipochi manyoya vya kina Wemaa atakalia kutuonyesha swiming pool kila siku
unataka wasemaje sasa
Binamu siku izi unaniudh, yaan umbea hadi nikuite, zaman haukuwa ivi unajua..