Ni kweli Diamond hana jipya?

Ni kweli Diamond hana jipya?

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Huku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaani hata kwenye rotation za TV na radio.....

Hata ukifatilia kwa umakini kwenye upigaji kura wa tunzo mbali mbali jamaa anakimbizwa sana na hasimu wake mkubwa bwana zamunda......

Kwa maoni yangu navoona muda sio mrefu tutamsahau kabisa
 
Kamuulize wizkid atakwambia jamaa maana wanakula sahani moja anavyosahalika
1471414682658.jpg
 
huku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaan hata kwenye rotation za tv na radio.....

hata ukifatilia kwa umakini kwenye upigaji kura wa tunzo mbali mbali jamaa anakimbizwa sana na hasimu wake mkubwa bwana zamunda......

kwa maoni yangu navoona muda sio mrefu tutamsahau kabisa
Mbongo umekaa namajungu2 unatamani kuona mwenzako akishuka,,,,,, ok kazana dada kuwaombea wenzako mabaya
 
Kasikilize kolabo ya watora mari ukweli imesimama ni hatari ila kidogo mi mwenyewe cjaikubali
 
Mwenzao nyimbo zake duniani huko bbc wanacheza huyu mwingine bado anashangilia kupigwa sibuka fm na jembe fm

na kikubwa zaid ni kwamba jamaa anaingiza pesa kila dakika kule iTunes kwa wimbo huu wa kidogo watu wa mataifa ya nje wananunua sana.. acha waendelee kumpa moyo msanii wao anaeuza ngoma mkito
 
na kikubwa zaid ni kwamba jamaa anaingiza pesa kila dakika kule iTunes kwa wimbo huu wa kidogo watu wa mataifa ya nje wananunua sana.. acha waendelee kumpa moyo msanii wao anaeuza ngoma mkito
aje ipo ndani ya music apps za streaming zaid ya 700 dunian asa nani anatengeneza mkwanja mwing zaid
 
Nikikubali nina wivu, nikipinga ninaonekana kibaraka. Bora nipite tu kimyakimya.
Ila mziki unategemea na taste ya mtu. Wapo wanaopenda hiphop, classics, rnb, country hits, danceholics, bongo flava, reggea, ragga na kadhalika.
Hivyo basi MSINILAZIMISHE kupenda msanii. Mie binafsi napenda Danceholics, hivyo akina Avicii, Swedish Mafia House etc ndio watu wangu.
Pengine LUPELA ya Alikiba ina mshiko kidogo.
N.B. MSINILAZIMISHE.
 
Back
Top Bottom