Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
toa maon yako mkuuNikikubali nina wivu, nikipinga ninaonekana kibaraka. Bora nipite tu kimyakimya.
Ila mziki unategemea na taste ya mtu. Wapo wanaopenda hiphop, classics, rnb, country hits, danceholics, bongo flava, reggea, ragga na kadhalika.
Hivyo basi MSINILAZIMISHE kupenda msanii. Mie binafsi napenda Danceholics, hivya akina Avicii, Swedish Mafia House etc ndio watu wangu.
Pengine LUPELA ya Alikiba ina mshiko kidogo.
N.B. MSINILAZIMISHE.
MAONI? Kwa lipi haswa?toa maon yako mkuu
andika vizur au hujaenda shule nnww umekunywa chai?
maana unaota ndoto cha alinacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati ukisubiria maombi yako ya kushushwa DIAMOND PLATNUMZ yakubaliwe na Mungu, si vibaya ukalijua hili kutoka kwa huyo unayemuombea mabaya, kuwa karibuni atakuwa na ziara ndeeeeeeeeeeefu sana ndani ya bara la Africa.Huku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaani hata kwenye rotation za TV na radio.....
Hata ukifatilia kwa umakini kwenye upigaji kura wa tunzo mbali mbali jamaa anakimbizwa sana na hasimu wake mkubwa bwana zamunda......
Kwa maoni yangu navoona muda sio mrefu tutamsahau kabisa
Pole mkuu au we ni Kiba nnhata kuimba hauimbiki bora hata wimbo wa nana ulitrend sana
Count me out.
AJEEE aje na RAFIKI zakeekila beats yake inatarumbeta unategemea nn ? mwambieni aje asiogope
Me zangu zinachezwa na radio maria.na bado mta-hate sana mwenzenu bbc wanacheza ngoma zake kila wiki
Mwezi ujao ni bize sana si tu kwa DIAMOND PLATNUMZ,ila ni kwa WCB nzima. Ila si vibaya wewe ukiendeleza maombi huenda ukasikika,ila angalia Mungu hasigeuze maombi yakakurudia wewe.
Ama kweli mchawi sio lazima apae na ungoHuku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaani hata kwenye rotation za TV na radio.....
Hata ukifatilia kwa umakini kwenye upigaji kura wa tunzo mbali mbali jamaa anakimbizwa sana na hasimu wake mkubwa bwana zamunda......
Kwa maoni yangu navoona muda sio mrefu tutamsahau kabisa
Don't u worry don't u worry child......Nikikubali nina wivu, nikipinga ninaonekana kibaraka. Bora nipite tu kimyakimya.
Ila mziki unategemea na taste ya mtu. Wapo wanaopenda hiphop, classics, rnb, country hits, danceholics, bongo flava, reggea, ragga na kadhalika.
Hivyo basi MSINILAZIMISHE kupenda msanii. Mie binafsi napenda Danceholics, hivyo akina Avicii, Swedish Mafia House etc ndio watu wangu.
Pengine LUPELA ya Alikiba ina mshiko kidogo.
N.B. MSINILAZIMISHE.