Ni kweli Diamond hana jipya?

Ni kweli Diamond hana jipya?

Mwenzio ndio anaendelea kuongoza katika mauzo ya single kwa upande wa East Africa.
 
Nikikubali nina wivu, nikipinga ninaonekana kibaraka. Bora nipite tu kimyakimya.
Ila mziki unategemea na taste ya mtu. Wapo wanaopenda hiphop, classics, rnb, country hits, danceholics, bongo flava, reggea, ragga na kadhalika.
Hivyo basi MSINILAZIMISHE kupenda msanii. Mie binafsi napenda Danceholics, hivya akina Avicii, Swedish Mafia House etc ndio watu wangu.
Pengine LUPELA ya Alikiba ina mshiko kidogo.
N.B. MSINILAZIMISHE.
toa maon yako mkuu
 
Akishuka au akipanda wewe anakujua au ni chuki binafsi tu...jiangalie wewe unanini kabla ujapoint mwingine aliekuzidi kwa kila kitu! !
 
toa maon yako mkuu
MAONI? Kwa lipi haswa?
Diamond ni msanii, mafans ndio umshusha na kumpandisha msanii.
Kama mafans wanampenda hata asipotoa hit bado watampenda.
Ina maana wimbo wa 'kidogo' ni mzuri kushinda 'ibaki stori'?
Binafsi sidhani. Ni vile tu Mond anapendwa na mafans wengi.
Umenielewa lakini?
 
ww umekunywa chai?
maana unaota ndoto cha alinacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ww umekunywa chai?
maana unaota ndoto cha alinacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
andika vizur au hujaenda shule nn
 
Huku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaani hata kwenye rotation za TV na radio.....

Hata ukifatilia kwa umakini kwenye upigaji kura wa tunzo mbali mbali jamaa anakimbizwa sana na hasimu wake mkubwa bwana zamunda......

Kwa maoni yangu navoona muda sio mrefu tutamsahau kabisa
Wakati ukisubiria maombi yako ya kushushwa DIAMOND PLATNUMZ yakubaliwe na Mungu, si vibaya ukalijua hili kutoka kwa huyo unayemuombea mabaya, kuwa karibuni atakuwa na ziara ndeeeeeeeeeeefu sana ndani ya bara la Africa.
 
Mwezi ujao ni bize sana si tu kwa DIAMOND PLATNUMZ,ila ni kwa WCB nzima. Ila si vibaya wewe ukiendeleza maombi huenda ukasikika,ila angalia Mungu hasigeuze maombi yakakurudia wewe.
 
Mavoko waja umezidi....wanaume wa kibongo bana aibu sana
 
Hivi ile nyimbo ya simba na mafilizulu iliishia wapi sababu niliisikia kama mara tatu tu ikapotea. Am serious no jealous.[/QUOTE]
Hauna jealous,ila habari za muziki zimekupitia kushoto.
 
Huku mtaani kuna stori zinasambaa sana kuwa huyu bwana mdogo mond kuwa now anapumulia mashine kutokana na ngoma zake kutofanya vizur mtaani hata kwenye rotation za TV na radio.....

Hata ukifatilia kwa umakini kwenye upigaji kura wa tunzo mbali mbali jamaa anakimbizwa sana na hasimu wake mkubwa bwana zamunda......

Kwa maoni yangu navoona muda sio mrefu tutamsahau kabisa
Ama kweli mchawi sio lazima apae na ungo
 
Nikikubali nina wivu, nikipinga ninaonekana kibaraka. Bora nipite tu kimyakimya.
Ila mziki unategemea na taste ya mtu. Wapo wanaopenda hiphop, classics, rnb, country hits, danceholics, bongo flava, reggea, ragga na kadhalika.
Hivyo basi MSINILAZIMISHE kupenda msanii. Mie binafsi napenda Danceholics, hivyo akina Avicii, Swedish Mafia House etc ndio watu wangu.
Pengine LUPELA ya Alikiba ina mshiko kidogo.
N.B. MSINILAZIMISHE.
Don't u worry don't u worry child......
 
Back
Top Bottom