Ni kweli Diamond kuinunua Yanga?

Ni kweli Diamond kuinunua Yanga?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nimekuta mjadala sehemu moja hawa vijana wanaotamama wasafi TV wakimsifu role modal wao kwamba anataka kuinunua yanga na kwamba hizo pesa wanazonunua wachezaji ni sehemu ya pesa aliyotoa.

Naomba kuuliza,habari hizi ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari niza kweli kabisa jamaa anatisha
 
Chizi kalogwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Manji ashindwe kuinunua yanga,aweze domokaya pheeewiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Waaambie kuendesha timu sio kufungua tv station au redio station mpira Ni habar nyingne kukatika bilion 4 kwa mwaka na Bado hakuna hata faida moja Ni Jambo la kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fake news.
Alisema yeye ni shabiki wa Simba na ikitokea akawekeza kwenys michezo atafanya japo menejimenti yake ilimwambia huko ni kupoteza pesa.
.
Atanunua timu iliyoko daraja zuri na kuibadilisha jina iitwe wasafi ila mpango huo ni wa mdomoni tu sio mipango rasmi hivyo huenda isitokee daima
 
Ataanzisha academy akishirikiana na Samuel Etoo...!
 
Anaweza. Kama simba ambayo ndio timu kuwa hapa east africa(accotding to caf). Mo alitoa 20b kuchukua 51% shares. Nini uhakika value ya yanga ni ndogo ya kiasi hicho. Networth ya diamond ni almost 50bln tsh
Mtukome. Yanga yetu si ya kununuliwa na Naseeb.Hana pesa za kuwekeza Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom