Candyscorpion
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 763
- 780
Dada nakutakia siku njema wengine magroup ya WhatsApp hatujajiunga.
Kwi kwi kwi kwi kwi!!! Mna kapani hadi nimewapenda!! Ngoja nipite huko kushoto mbaya zaidi ni pale ninapofahamu kuwa kuna waliokuwa marafiki hapa JF wanaochukizwa na Diamond na Zari ila wanatumia ID zaidi ya tatu. Mimi nishaanza kushoto mama.Mkuu jiheshimu uheshimiwe,usichokielewa kwa asia ni nn labda??ukiona mada haikuhusu pita kushoto cio kila ki2 mpka ucomment,kma cio umbeya ni nn ati!!!!???
Ajiheshimu kivipi sasa kama huyo shoga yako kam quote na kujitia ujuaji na maneno mengi!?Mkuu jiheshimu uheshimiwe,usichokielewa kwa asia ni nn labda??ukiona mada haikuhusu pita kushoto cio kila ki2 mpka ucomment,kma cio umbeya ni nn ati!!!!???
Kinachoendelea sahizi instagram ni Mtifuano na ukorochoaji wa Maisha ya watu! Watu wapo busy,watu wapo katika pirika pirika za kutafuta ukweli kujua nini kinacho endelea kati ya Zari na Diamond na Diamond na Video queen wa Kwetu' Mama Diamond na mkwe wake na mawifi mtu!
Kama unavojua wabongo Umbea una nguvu kuliko Ripoti ya CAG insta kumechafuka.....Mama Diamond alianza kwa kufuta picha zote alizo post za Zari watu wakasema Mmmmmmmmh kuna kitu hapa,(mimi sidhani kama kufuta picha za mtu ni kitu kibaya lakini hakufuta za zari tuu mbona hata za wengine alifuta akaacha za Tiffa na Rommy tuu)
Wafuatiliaji wa mambo hawakuishia hapo wakasema Esma dada wa Diamond Ka muunfollow Zari (sina uhakika lakini Kwa usawahili wa huyu Dada nilishangaa kuona anapatana na Zari huyu ni mswahili mno na Diamond asipo kuwa Makini atamponza kwa uswahili wake)
Watu wakaendelea na story kwanini Zari hakutoa shout out kwa wimbo wa Raymond video ya Kwetu wakaguna wakasemaaa mmmmmmmmh hapa kuna kitu huenda Diamond anatoka na yule video queen wa hio video(Sioni tatizo tukumbuke Video ilitoka wakiwa bsy ulaya hata Mama Dai naye hajatoa Shout out kwenye video na hata picha alio post kuhusu hio video hamna)
Wafuatiliaji wa Mambo wakasema ishu ilianza kutokea world tour kuwa wakati wa kurudi kila mtu alipita njia yake Mama Diamond na Zari (mimi sioni Tatizo as long as Zari anaishi South Africa huenda alichukua ndege moja kwa moja hadi South na Mama Dai akaja bongo)
Juzi juzi hapa Dai na Zari wamepost picha zao wakionesha they are happy na mahusiano yao so Sidhani kama kuna kitu hicho ingawa leo bado hawajapost chochote
Kimbembe ni pale Mama Dai alipo like picha ya Video queen(anaesadikika kutoka na Dai)
Watu wakaendelea kupagawa na kuona kama yasemwayo yanaukweli baada ya video queen kupost picha hizi (Lakini ameshazifuta ila wajanja waliwahi)
Sasa Hatujui hii simema wapi itaishia lakini tuwe hapa hapa tutajua kila kitu! As long as hii ni JF! LENGO LA THREAD HII NI KUTAKA MWANA JF USIYUMBISHWE KUJUA NINI NI NINI?
MTAZAMO:
Kama Dai atakuwa kweli kaamua kuachana na Zari (Sidhani kama kitatokea) na kuja Kutoka na Video queen kwanza atakuwa amejishushia heshima yake hata kama Mama Dai ndo anampenda huyo video queen!, pili Dai atakufa Maskini maana wabongo huyo video queen atahamishia hadi ukoo wake pale white house sasa itakuwa bila bila Dai yupo na kijiji chake na huyu yupo na Kijiji chake!
Kingine ni kuwa Dai akae na dada zake na Mama ake awambie wapunguze uswahili kwa Zari! Utakuja kumponza Esma ni mswahili sana bora hata Halima! Esma yake yanamshinda anataka kuvuruga ya watu,pia Mama ake hata kama Insta kaikutia ukubwani Apunguze uswahili mwanae ashakuwa super star,yeye atulie afaidi matunda basi uswahili wakumuamlia atoke na nani ni ujinga na atampotezea mwanae Heshima!
Pamoja na kuwa zari ni mvumilivu namshauri Dai apunguze watu wakukaa nae Nyumbani kwake ana nyumba nyingi sio kila mtu lazima akae nae hata kama huruma sasa zinazidi! Ile ni nyumba yake na mke wake ndo maana ya mke,mama mkwe awe na nyumba yake,dada zake pia na ndugu wengine zari atakuwa anakosa uhuru ajifunze mbna Zari haleti ndugu zake! Ndoa ni kitu nyeti sana!
Napinga kwa asilimia 80% kuwa Dai anatka kumtosa Zari kwenda kwa video queen mtoto! Lakini ngoja tuone hii ngoma itaishia wapi
Reality Tv show ya Daimond huenda ikawa inatafutiwa Kiki kwa njia hii,mama Dai wabongo asha wajua kuwa akitoa Show yake hyo itauza maana wengi wanapenda umbea so huenda ni kiki
Mchezo huu hauhitaji hasira
Pamoja na kuwa Diamond ana kiasi fulani cha utoto pengine kwa kuwa na uwezo akiwa na umri mdogo bado ana hitaji sana mshauri wa karibu na hilo silioni kwa mama yake wala ndugu yake yoyote ila huyo mama mtoto wake anaye onekana pamoja na kuwa na mapenzi ya dhati kwa Diamond pia ana ukomavu wa maisha na ana jiweza tofauti na hivyo visichana anavyo husishwa navyo kama kuna ukweli, na hata alio kuwa nao kabla ambao wote ni kina "I love you Pochi lako tu" nina mtakia heri na mafanikio zaidi,atulize kichwa na ajitambue sasa.Tatizo la na Dai ni kulundika ndugu nyumbani kwake wakati ana uwezo wa kuwaweka sehemu nyingine ambayo ni nzuri pia. Anashindwa kujua kua maisha ni mume, mke na watoto na sio mume, mke, watoto, mama, dada na wengine.
Na hao ndugu wenyewe basi waswahili kupita kiasi. Dai, amejitahidi sana ku cope na hali ya u celeb wake, kiasi uswahili umemtoka ila kashindwa kuweka mbali ndugu. hawa wata cost ndoa yake iwapo atataka kumuoa Zari. I wish apate message imuingie, amsomeshe mama aelewe. mama akielewa na ndugu wengine wataondoka. maana sijui mama anahangaika nini kukaa na mtoto na mkwe nyumba moja wakati hawana shida hata moja.
Hata kama amemlea Dai kwa shida sana lakini sio mzazi pekee alipitia hizo shida. wapo waliolea kwa shida zaidi yake lakini hawagandi watoto kiasi hicho kwa kisingizio kua kapata shida. ampe mwanae uhuru na familia yake. Hata hivyo Zari namsifu ana moyo hasa.
Mbona upo kwenye hili jukwaa?Tafadhari sana dada star kwangu ni mama yangu tu basi.
HahahahahahahaWewe danya ni wakiume au wakike...kama wakike basi mama kwa ubuyuu umeivaaa ila kama wakiume mzazi kaumia mtoto wa kiume hizi dalili sio nzuri
Kama tusinge kuwa tunapost hivi vitu hili jukwaa lisinge kuwepoSasa sisi inatuhusu nini huu uchafu
Peleka uchafu kwa wajinga wenzako
Hapo hata ela ya Kula huna unatuma habari za uchafu sisi hao wanatuhusu nini waachane , wauwane watajua wenyewe
Kwenye hili jukwaa unafanya nini? Kama sio kufuatilia maisha ya mastaaWewe mwenyewe mbea. Jamani hivi mkoje huko Dar? Utakuta hujaingiza hata mia mbili lkn kutwa kufuatilia maisha ya watu.
Ni haki yangu kujifunza upande wa pili wa binadamu. Sijawahi kuishi nikawa busy kufuatilia maisha ya watu. Kuna baadhi ya wezako nafahamu wako hapa kwa ID tofauti lkn ni wapenzi wa kuombea negative life side kwa huyu kijana Diamond. Binafsi ili dunia ikamilike watu kama nyie mnatakiwa muwepo.Mbona upo kwenye hili jukwaa?
Tofauti ya Zari na wengine wote aliowahi kuwa nao Diamond-she is not in this relationship for the money again amemfundisha Diamond what is protocol-leo hii huyu Diamond sio mtoto wa Tandale anymore all because amestuka kumbe in this world not all are gold diggersHuwa siwaelewi wanaume wa hapa JF, kila siku nyuz zinaanzishwa hapa kuwa mwanaume asioe mwanamke mwenye mtoto, eti hao ni wakuzalishwa tu, au unaonja then unasepa, nashangaa hapa watu wanataka Diamond asimuache Zari mwenye watoto wa3, hahaha! Labda Dai alisoma ushaur wenu humu ndo maana sasa anatafuta bint mbichi
Umesoma nilicho andika au ulivyo sikia Dai basi ukashadadia kucomment hapaNi haki yangu kujifunza upande wa pili wa binadamu. Sijawahi kuishi nikawa busy kufuatilia maisha ya watu. Kuna baadhi ya wezako nafahamu wako hapa kwa ID tofauti lkn ni wapenzi wa kuombea negative life side kwa huyu kijana Diamond. Binafsi ili dunia ikamilike watu kama nyie mnatakiwa muwepo.
Kuna mtu kakuuliza wewe ni mwanamke au mwanaume?Kwenye hili jukwaa unafanya nini? Kama sio kufuatilia maisha ya mastaa
Soma vzr unielewe,Tofauti ya Zari na wengine wote aliowahi kuwa nao Diamond-she is not in this relationship for the money again amemfundisha Diamond what is protocol-leo hii huyu Diamond sio mtoto wa Tandale anymore all because amestuka kumbe in this world not all are gold diggers
Sikiliza danya kwanza fahamu tumekulia mazigira tofauti hivyo sikushangai kama ni lifestyle yako ya kuumiza kichwa kufuatilia mtu flani.Umesoma nilicho andika au ulivyo sikia Dai basi ukashadadia kucomment hapa
Wewe mbona hueleweki unaongelea nini unaenda opp na ninacho kiandika ngoja nikuache!Kuna mtu kakuuliza wewe ni mwanamke au mwanaume?