Ni kweli Diamond na Zari Wanataka Kuachana? Ni kweli Diamond kahamishia Majeshi kwa Lyn?

Wewe mbona hueleweki unaongelea nini unaenda opp na ninacho kiandika ngoja nikuache!
Kama ni mwanamke basi komaa na ndoa yako na achana na kupoteza muda kufuatilia maisha ya watu kwani Diamond ana wazazi na bado kuna viongozi wa dini ambao watamshauri wapi anapotea na wapi yuko sawa lkn kama u mwanaume basi utakuwa ni wale wa daraja la kigamboni.
 
Sikiliza danya kwanza fahamu tumekulia mazigira tofauti hivyo sikushangai kama ni lifestyle yako ya kuumiza kichwa kufuatilia mtu flani.
Yaani kitu moja unashindwa kukielewa kuwa bila hizi mambo basi hili jukwaa hapa lisinge kuwepo kama unahisi ukipost kitu cha mtu fulani ni kufuatilia maisha yake basi wote tunao post na kuchangia hapa tutakuwa tunafuatilia maisha ya watu! Kitu kikubwa na cha kipekee kwa mastaa wa kibongo na nje ya nchi ni maisha yao hicho ndo kinacho wapa tension mashabiki wao ndo maana kuna interview! Sasa ukisema kuwa mimi nina fuatilia maisha ya watu nashindwa kukuelewa ningekuwa nimemuandika Jirani yetu kule kijijini kwetu ambae hata ngazi ya kata hafahamiki ndo mngesema kuwa nafuatilia maisha ya watu

Lakini kama ni huyu huyu Dai ambae interview yake yoyote lazima maisha yake yahojiwe sioni cha tofauti na hakuna uzi hapa usio ongelea maisha ya Mastaa! Labda uwe unaenda jukwaa la lugha tuu kule!

Hope umenielewa na wale wote wanao sema nina fuatilia maisha ya watu!
 
Huwa siwaelewi wanaume wa hapa JF, kila siku nyuz zinaanzishwa hapa kuwa mwanaume asioe mwanamke mwenye mtoto, eti hao ni wakuzalishwa tu, au unaonja then unasepa, nashangaa hapa watu wanataka Diamond asimuache Zari mwenye watoto wa3, hahaha! Labda Dai alisoma ushaur wenu humu ndo maana sasa anatafuta bint mbichi
Hicho kitu kinatesa wanaume wengi tu wa kiafrica hapa wana mshadadia dai abebe mtu mwenye three kid mara walaumu mama dai sijui ESMA bila kujua nyuma ya pazia. Age factor seems to hurt dai hata in real sense kautafiti kadogo nilikofanya mwanamke mwenye watoto lazima usakamwe na familia.
Dai kastruggle kufika hapo kwa juhud sana na wale sio wanawake walomfikisha. Bado ni kijana lazima a test na young blood zari avumilie tu ukigori wake mbona alikula na ivan
 
Kama ni mwanamke basi komaa na ndoa yako na achana na kupoteza muda kufuatilia maisha ya watu kwani Diamond ana wazazi na bado kuna viongozi wa dini ambao watamshauri wapi anapotea na wapi yuko sawa lkn kama u mwanaume basi utakuwa ni wale wa daraja la kigamboni.
Naona ujinga wako ni Unlimited!
 
Yaani kitu moja unashindwa kukielewa kuwa bila hizi mambo basi hili jukwaa hapa lisinge kuwepo kama unahisi ukipost kitu cha mtu fulani ni kufuatilia maisha yake basi wote tunao post na kuchangia hapa tutakuwa tunafuatilia maisha ya watu! Kitu kikubwa na cha kipekee kwa mastaa wa kibongo na nje ya nchi ni maisha yao hicho ndo kinacho wapa tension mashabiki wao ndo maana kuna interview! Sasa ukisema kuwa mimi nina fuatilia maisha ya watu nashindwa kukuelewa ningekuwa nimemuandika Jirani yetu kule kijijini kwetu ambae hata ngazi ya kata hafahamiki ndo mngesema kuwa nafuatilia maisha ya watu

Lakini kama ni huyu huyu Dai ambae interview yake yoyote lazima maisha yake yahojiwe sioni cha tofauti na hakuna uzi hapa usio ongelea maisha ya Mastaa! Labda uwe unaenda jukwaa la lugha tuu kule!

Hope umenielewa na wale wote wanao sema nina fuatilia maisha ya watu!
Basi mkuu nimekuelewa
 
Hako ka dem kanafaa kwa matumiz ya kuliwa tu km pipi sio wa kuoa...hawa ni wale wale...kujisexisha insta kitafuta soko akili ya life hamna
 
Watu kwa kutunga hawajambo, iko hivi MAMA DIAMOND WAJANJA (a.k.a wajinga) WAMESHACHUKUA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM, NA KITU CHOCHOTE KINACHOHUSU HIYO ACCOUNT KWA SASA HAKITOKI KWA MAMA DIAMOND.Halafu danya usiwe unasumbuka na watu wanaoponda kwa yanayoandikwa hapa, ingekuwa wao hawapendi/kukerwa na kinachoandikwa hapa wasingetumia muda wao kuyasoma ya hapa na kama hiyo haitoshi kuonyesha kuwa wao ni wenzetu pia wanakomenti sasa mtu wa hivi unaachana naye tu wao ni wambeya sana kuliko wanaouleta huo umbeya.
 
Hicho kitu kinatesa wanaume wengi tu wa kiafrica hapa wana mshadadia dai abebe mtu mwenye three kid mara walaumu mama dai sijui ESMA bila kujua nyuma ya pazia. Age factor seems to hurt dai hata in real sense kautafiti kadogo nilikofanya mwanamke mwenye watoto lazima usakamwe na familia.
Dai kastruggle kufika hapo kwa juhud sana na wale sio wanawake walomfikisha. Bado ni kijana lazima a test na young blood zari avumilie tu ukigori wake mbona alikula na ivan

Yaani mnavyo shangilia utafikiri kuna uthibitisho kwamba Diamond anatembea na huyo msichana. Kisa Zari ni mkubwa na ana watoto. Poleni sana mapenzi haya chagui. Diamond anazushiwa kila siku mara kuna demu wa UK, mara Kajala, mara mke wa Shetta list haiishii. Mtaendelea kuwaona wanazidi kuwa strong kwenye maisha na reality show yao ikitoka mtakua mnaiwatch ili muone kama wanaachana.
Watu mnafikiri kwa vile nyie hamuwezi kufall in love na mwanamke mwenye wato to basi kila mtu yuko hivyo. Zari is a mature woman and has a business mind which is something that compliments her relationship na Diamond who was looking for a woman and not a girl.
 
Umejuaje kuwa tunashangilia people are just arguing tu nothing more kushangalia kungrongeza nini? Ukweli mchungu age kiafrica na kibongo ni factor mojawapo inayo inayoangaliwa tena swali la huyo bibie kuwa na three kid tena kwa dai kamtega plus kiki ndo mana mmoja wa p square alimdate aka mdamp, yule mshiriki wa big brother lk4. In short ndo HVO chunguza hata ka ni mahaba. Unaweza kuwa na hela sana usiwe na furaha ya relationship. Pesa inataftwa na yoyote whether legally or not so yoyote akiamua anakuwa nazo
 
Hicho kitu kinatesa wanaume wengi tu wa kiafrica hapa wana mshadadia dai abebe mtu mwenye three kid mara walaumu mama dai sijui ESMA bila kujua nyuma ya pazia. Age factor seems to hurt dai hata in real sense kautafiti kadogo nilikofanya mwanamke mwenye watoto lazima usakamwe na familia.
Dai kastruggle kufika hapo kwa juhud sana na wale sio wanawake walomfikisha. Bado ni kijana lazima a test na young blood zari avumilie tu ukigori wake mbona alikula na ivan

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwiiiiiiiii nimecheka hadi nimepaliwa.
 
Umejuaje kuwa tunashangilia people are just arguing tu nothing more kushangalia kungrongeza nini? Ukweli mchungu age kiafrica na kibongo ni factor mojawapo inayo inayoangaliwa tena swali la huyo bibie kuwa na three kid tena kwa dai kamtega plus kiki ndo mana mmoja wa p square alimdate aka mdamp, yule mshiriki wa big brother lk4. In short ndo HVO chunguza hata ka ni mahaba. Unaweza kuwa na hela sana usiwe na furaha ya relationship. Pesa inataftwa na yoyote whether legally or not so yoyote akiamua anakuwa nazo
Kwani hata tukishangilia kuna ubaya gani?
Hukuwa na haja ya kumpa maelezo yote hayo.
 
nyie mnaoponda celebrities kuongelewa au kuzungumziwa maisha yao kwenye hili jukwaa mna akili timamu kweli?yani nlivo na hasira nimewatukana nyote bonge la tusi kimoyomoyo...inamaana hata caption ya hili jukwaa mmeshindwa kuisoma na kuielewa?kweli wabongo ni vilaza wa kutupwa,kila kitu kinafanywa kulingana na mazingira yake,mleta mada angekua wa ajabu endapo hizi mada angekuwa anapost kule siasani au intelligensia.
Ebu nyie mnaojifanya wanaume wa mikoa gani cjui,kueni wastaarabu kidogo,kuzaliwa kijijini sio kosa lako ila kufia kijijini ndo kosa...njooni mjini mjifunze ustaarabu walau kidogo. Ahsante.
 
hivi uyo mtoto kafikisha miaka 21? atamshauri nini Diamond? ataongeza vipi soko au umaarufu wa diamond? ninamini kijana Diamond awez kufanya ujinga kua na uyo mtoto ambae hana exposure yoyote wala experience kwenye mambo ya biashara na sanaa kiujumla.Kama kamgegeda hapo n sawa lakini sio mwanamke wa kumuweka ndani kabisa.
 
Hicho kitu kinatesa wanaume wengi tu wa kiafrica hapa wana mshadadia dai abebe mtu mwenye three kid mara walaumu mama dai sijui ESMA bila kujua nyuma ya pazia. Age factor seems to hurt dai hata in real sense kautafiti kadogo nilikofanya mwanamke mwenye watoto lazima usakamwe na familia.
Dai kastruggle kufika hapo kwa juhud sana na wale sio wanawake walomfikisha. Bado ni kijana lazima a test na young blood zari avumilie tu ukigori wake mbona alikula na ivan
kua na 3 kids sio tatizo, kua na umri mkubwa zaidi ya Diamond sio tatizo,tatizo ni uyo mtoto atamsaidia vipi diamond kimziki na kibiashara? ana experience ipi ya biashara au connection ipi ya biashara itakayo msaidia diamond? je amejiwezesha kama Zari? ana nyumba au gari? kuoa sio lazima uoe mwanamke mwenye umri mdogo au mbichi.Nazani Zari anamfaa Diamond sana tena anazidi kumpa pressure ya kufikia malengo makubwa zaidi.Wanaume tunahitaji wanawake wanao jiweza,kupambana na kuendesha familia sio wakukesha kwenye social networks kwa kutafuta attention ya watu wakati hauna ata biashara inayokuingizia laki 1 kwa mwezi.
 
Watu kwa kutunga hawajambo, iko hivi MAMA DIAMOND WAJANJA (a.k.a wajinga) WAMESHACHUKUA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM, NA KITU CHOCHOTE KINACHOHUSU HIYO ACCOUNT KWA SASA HAKITOKI KWA MAMA DIAMOND.Halafu danya usiwe unasumbuka na watu wanaoponda kwa yanayoandikwa hapa, ingekuwa wao hawapendi/kukerwa na kinachoandikwa hapa wasingetumia muda wao kuyasoma ya hapa na kama hiyo haitoshi kuonyesha kuwa wao ni wenzetu pia wanakomenti sasa mtu wa hivi unaachana naye tu wao ni wambeya sana kuliko wanaouleta huo umbeya.
Diamond au mtu yeyote aliepo insta au hata Zari ilibidi walitolee ufafanuzi hili kuwa account ipo hacked lakini wakikaa kimya mmmh wanakuwa wanakosea
 
0e00ae30211e8c828bc09321cb09c03a.jpg

Maneno ya Rommy Jones
 
Diamond au mtu yeyote aliepo Whatsapp au hata Zari ilibidi walitolee ufafanuzi hili kuwa account ipo hacked lakini wakikaa kimya mmmh wanakuwa wanakosea
Ndipo mujue kuwa huwa hawaumizwi na maneno ya watu,wala hayawakoseshi usingizi.
 
Back
Top Bottom