Watu kwa kutunga hawajambo, iko hivi
MAMA DIAMOND WAJANJA (a.k.a wajinga) WAMESHACHUKUA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM, NA KITU CHOCHOTE KINACHOHUSU HIYO ACCOUNT KWA SASA HAKITOKI KWA MAMA DIAMOND.Halafu
danya usiwe unasumbuka na watu wanaoponda kwa yanayoandikwa hapa, ingekuwa wao hawapendi/kukerwa na kinachoandikwa hapa wasingetumia muda wao kuyasoma ya hapa na kama hiyo haitoshi kuonyesha kuwa wao ni wenzetu pia wanakomenti sasa mtu wa hivi unaachana naye tu wao ni wambeya sana kuliko wanaouleta huo umbeya.